title : NAIBU WAZIRI SHONZA AZINDUA ONESHO LA ADORABLE WEDDING TRADE FAIR 2018 JIJINI DAR
kiungo : NAIBU WAZIRI SHONZA AZINDUA ONESHO LA ADORABLE WEDDING TRADE FAIR 2018 JIJINI DAR
NAIBU WAZIRI SHONZA AZINDUA ONESHO LA ADORABLE WEDDING TRADE FAIR 2018 JIJINI DAR
Uzinduzi rasmi wa onesho la Adorableweddingtradefair2018 umefanyika jana jumamosi ndani ya ukumbi wa King Solomon,Namanga jijini Dar,ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Naibu waziri wa Habari Utamaduni,Sanaa na Michezo Juliana Shonza.
Aidha katika muendelezo wa onesho hilo leo Usisite kupita pale katika ukumbi wa King Solomon, Namanga mkabala na Best Bite leo na kujionea wadau mbalimbali wa sherehe kama wapambaji, Cake,Ma-Mc,Wauzaji wa nguo,Chakula,Picha na wengineo lukuki wakionesha bidhaa zao,bila kusahau Vyakula mbalimbali vitakuwepoo kwa bei nafuu tuu,Ni Onesho la bure kabisa na hakuna kingilio.
Aidha katika muendelezo wa onesho hilo leo Usisite kupita pale katika ukumbi wa King Solomon, Namanga mkabala na Best Bite leo na kujionea wadau mbalimbali wa sherehe kama wapambaji, Cake,Ma-Mc,Wauzaji wa nguo,Chakula,Picha na wengineo lukuki wakionesha bidhaa zao,bila kusahau Vyakula mbalimbali vitakuwepoo kwa bei nafuu tuu,Ni Onesho la bure kabisa na hakuna kingilio.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe .Juliana Shonza akizungumza mbele ya washiriki na waandaaji wakati wa uzinduzi wa onesho la Adorableweddingtradefair2018,lililofanyika ndani ya ukumbi wa King Solom jana,Namanga jijini Dar

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe .Juliana Shonza (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa onesho hilo la Adorableweddingtradefair2018


Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe .Juliana Shonza (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Waandaaji wa onesho hilo la Adorableweddingtradefair2018 sambamba na washiriki wengine mbalimbali waliohakikisha onesho hilo linafana kwa kiasi kikubwa
Hivyo makala NAIBU WAZIRI SHONZA AZINDUA ONESHO LA ADORABLE WEDDING TRADE FAIR 2018 JIJINI DAR
yaani makala yote NAIBU WAZIRI SHONZA AZINDUA ONESHO LA ADORABLE WEDDING TRADE FAIR 2018 JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI SHONZA AZINDUA ONESHO LA ADORABLE WEDDING TRADE FAIR 2018 JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/naibu-waziri-shonza-azindua-onesho-la.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI SHONZA AZINDUA ONESHO LA ADORABLE WEDDING TRADE FAIR 2018 JIJINI DAR"
Post a Comment