Miembeni City yaendelea kuchapwa Ligi Kuu Zenj, JKU kama kawaida ushindi tu

Miembeni City yaendelea kuchapwa Ligi Kuu Zenj, JKU kama kawaida ushindi tu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Miembeni City yaendelea kuchapwa Ligi Kuu Zenj, JKU kama kawaida ushindi tu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Miembeni City yaendelea kuchapwa Ligi Kuu Zenj, JKU kama kawaida ushindi tu
kiungo : Miembeni City yaendelea kuchapwa Ligi Kuu Zenj, JKU kama kawaida ushindi tu

soma pia


Miembeni City yaendelea kuchapwa Ligi Kuu Zenj, JKU kama kawaida ushindi tu


Na: Abubakar Khatib, Unguja.

Mzunguko wa Pili wa Ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja umeanza leo katika uwanja wa Amaan kwa kupigwa michezo miwili.

Saa 8 za mchana mabingwa watetezi JKU wakaichapa Chuoni mabao 3-2 ambapo mabao ya JKU yamefungwa na Shomari Waziri dakika ya 12, Ali Haji Said (Zege) dakika 48 na Nassor Matar dakika ya 64, wakati mabao ya Chuoni yamefungwa na Charles Chinonso dakika ya 24 na Hamad Mshamata dakika ya 29.

Saa 10 za jioni Miembeni City ikaendelea kuchapwa katika ligi hiyo baada ya leo kupigwa na Mafunzo bao 1-0.

Bao pekee la Mafunzo limefungwa na Ali Othman dakika ya 27.ligi hiyo itaendelea tena kesho Jumatatu 16/10/2017 saa 8:00 za mchana Taifa ya Jang’ombe vs Polisi na  saa 10:00 za jioni KVZ vs Zimamoto

Jumanne 17/10/2017 saa 8:00 za mchana Kipanga vs Charawe

Jumanne 17/10/2017 saa 10:00 za jioni KMKM vs Kilimani City

Jumatano 18/10/2017 saa 10:00 za jioni Black Sailors vs Jang’ombe Boys


Hivyo makala Miembeni City yaendelea kuchapwa Ligi Kuu Zenj, JKU kama kawaida ushindi tu

yaani makala yote Miembeni City yaendelea kuchapwa Ligi Kuu Zenj, JKU kama kawaida ushindi tu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Miembeni City yaendelea kuchapwa Ligi Kuu Zenj, JKU kama kawaida ushindi tu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/miembeni-city-yaendelea-kuchapwa-ligi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Miembeni City yaendelea kuchapwa Ligi Kuu Zenj, JKU kama kawaida ushindi tu"

Post a Comment