title : Madaktaeri bingwa wa upasuaji kutoka Falme za kiarabu wapiga kambi Hospitali ya Chakechake kutoa huduma
kiungo : Madaktaeri bingwa wa upasuaji kutoka Falme za kiarabu wapiga kambi Hospitali ya Chakechake kutoa huduma
Madaktaeri bingwa wa upasuaji kutoka Falme za kiarabu wapiga kambi Hospitali ya Chakechake kutoa huduma
Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Harusi Said Suleiman, akiingia katika Hospitali ya Chake Chake Pemba, kwa ajili ya uzinduzi wa Kambi ya pili ya madaktari bingwa kutoka Jumuiya ya WAMY ya Falme za Kiarabu.
Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka Jumuiya ya WAMY ya Falme za kiarabu, Tariq Habibu, akitowa maelezo ya jumuiya hiyo kwa Naibu waziri wa afya kabla ya uzinduzi wa kambi iliofanywa na jumuiya hiyo Kisiwani Pemba.
Baadhi ya madaktari wa jumuiya ya WAMY na watendaji wa Hospitali ya Chake Chake Pemba, wakimsikiliza Naibu waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Harusi Said Suleiman akitowa nasaha zake na kuifunguwa kambi ya matibabu na upasuaji inayoendeshwa na madaktari hao.
Baadhi ya Dawa na Vifaa ambavyo vimeletwa na Madaktari bingwa wa upasuaji kutoka Jumuiya ya WAMY katika Falme za Kiarabu kwa ajili ya kambi ya matibabu na upasuaji huko katika Hospitali ya chake Chake Pemba.

Baadhi ya Madaktari bingwa kutoka Jumuiya ya WAMY, na Naibu waziri wa afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Harusi Said Suleiman huko Chake Chake Pemba.
Baadhi ya Dawa na Vifaa ambavyo vimeletwa na Madaktari bingwa wa upasuaji kutoka Jumuiya ya WAMY katika Falme za Kiarabu kwa ajili ya kambi ya matibabu na upasuaji huko katika Hospitali ya chake Chake Pemba.
PICHA NA JAMILA ABDALLA -MAELEZO PEMBA.
Hivyo makala Madaktaeri bingwa wa upasuaji kutoka Falme za kiarabu wapiga kambi Hospitali ya Chakechake kutoa huduma
yaani makala yote Madaktaeri bingwa wa upasuaji kutoka Falme za kiarabu wapiga kambi Hospitali ya Chakechake kutoa huduma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Madaktaeri bingwa wa upasuaji kutoka Falme za kiarabu wapiga kambi Hospitali ya Chakechake kutoa huduma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/madaktaeri-bingwa-wa-upasuaji-kutoka.html
0 Response to "Madaktaeri bingwa wa upasuaji kutoka Falme za kiarabu wapiga kambi Hospitali ya Chakechake kutoa huduma"
Post a Comment