HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA YA PANDISHA MADARAJA WATUMISHI 2200 NA BAADHI KUWAFUKUZA KAZI.

HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA YA PANDISHA MADARAJA WATUMISHI 2200 NA BAADHI KUWAFUKUZA KAZI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA YA PANDISHA MADARAJA WATUMISHI 2200 NA BAADHI KUWAFUKUZA KAZI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA YA PANDISHA MADARAJA WATUMISHI 2200 NA BAADHI KUWAFUKUZA KAZI.
kiungo : HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA YA PANDISHA MADARAJA WATUMISHI 2200 NA BAADHI KUWAFUKUZA KAZI.

soma pia


HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA YA PANDISHA MADARAJA WATUMISHI 2200 NA BAADHI KUWAFUKUZA KAZI.

 Mwambawahabari
HALMSHAURI ya Manispaa ya Ilala,  imewapandisha madaraja watumishi  wake 2200 huku watumishi nane wakitimuliwa kazi kutokana na kukosa vigezo.

Watumishi  205 wenye elimu ya darasa la saba wanaendelea na ajira kwa mujibu wa taratibu za serikali.
Akizungumza wakati wa kilele cha Maadhimisho  ya Wiki ya Utumishi wa Umma, ambayo kiwilaya ilifanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, jana, Mkurugenzi wa halmshauri hiyo, Msongela Palela, alisema hatua hizo zimechukuliwa ndani ya wiki ya maadhimisho hayo.

“Wiki nzima iliyopita tulikuwa katika maadhimisho hayo na tuliona ni vema tukaaadhimisha kwa kujitathimini katika utendaji wetu kwa kuchukua hatua mbalimbali,”alisema Palela.

Aliongeza; “Tumewapandisha watumishi wetu madaraja kwa mujibu wa vigezo  vyote na pia tulifanya uhakiki wa watumishi na kubaini watumishi nane hawa na sifa.Tumewaondoa,”

Wakati huohuo Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala, alisema halmshauri hiyo ilipokea malalamiko ya wananchi 2209 katika  maadhimisho hayo.

Alisema malalamiko mengi   yalihusu migogoro ya ardhi ambapo jumla ya malalamiko hayo  ilikuwa ni  255.

“Katika wiki hii ya utumishi wa umma pia tulipokea  malalamiko 501  yaliyohusu mikopo.

Watu wengi  wanapata changamoto nyingi katika upataji mikopo hususan ile inayotolewa na taasisi za kifedha na serikali,”alisema Mpogolo.

Aliongeza; “Malalamiko kwa upande wa mikopo  kwa wanafunzi wa elimu ya juu ilikuwa ni 200.

Asilimia kubwa ya vijana walilalamikia  changamoto nyingi wanazo kumbana nazo katika kupata mikopo  hiyo na tumekuwa tukiitatua kwa kushirikiana na mamlaka husika,”alisema

Mpogolo alisema, malalamiko menginwe yalihusu mirathi  hususan watu kutapeliwa haki hasa watoto na wajane .

“Malalamiko 350 yalihusisha mikopo ya taasisi za kifedha .Wapo wananchi ambao walilalamika  nyumba au mali zao kuuzwa baada ya kushindwa kurejesha mikopo waliyochukua katika taasisi hizo.Wengine waliingia mikataba bila kujiandaa namna ya kurejesha fedha,”alifafanua katibu tawala huyo.

Alisema,  eneo lingine ambalo lililamikiwa ni  upande wa ajira, ambapo wananchi walilalamika kufanya kazi katika mashirika, taasisi au kampuni bila mikataba na kufanya kazi katika mazingira magumu au kinyume na mikataba.

“Kwa kiasi kikubwa wafanyakazi wa   kampuni  binafsi za ulinzi  na hoteli  walijitokeza ambapo tumepokea  malamiko 300,”alisema .

Alisema,  malamiko mengineyo yalikuwa  285 na kwamba halmshauri itahakikishayanatafutiwa ufumbuzi wa haraka.



Hivyo makala HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA YA PANDISHA MADARAJA WATUMISHI 2200 NA BAADHI KUWAFUKUZA KAZI.

yaani makala yote HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA YA PANDISHA MADARAJA WATUMISHI 2200 NA BAADHI KUWAFUKUZA KAZI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA YA PANDISHA MADARAJA WATUMISHI 2200 NA BAADHI KUWAFUKUZA KAZI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/halmashauri-ya-manispaa-ya-ilala-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA YA PANDISHA MADARAJA WATUMISHI 2200 NA BAADHI KUWAFUKUZA KAZI."

Post a Comment