title : BREAKING NEWS FUATILIA MKUTANO WA RC DSM MUDA HUU
kiungo : BREAKING NEWS FUATILIA MKUTANO WA RC DSM MUDA HUU
BREAKING NEWS FUATILIA MKUTANO WA RC DSM MUDA HUU
MwambawahabariMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Makonda leo amezindua rasmi na kuweka jiwe la msingi tayari kwa kuanza ujenzi wa barabara ya Mbezi juu Kinzudi na kusisitiza wakandarasi kujenga barabara zenye ubora.
Aidha ametoa ahadi Lukuvi kwa wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam ikiwemo ujenzi wa Reli kutoka Wazo hili, Posta hadi Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
Hayo ameyasema leo katika mkutano unaoendelea muda huu Mbezi juu Fuatilia sasa mkutano huo kupiti vituo vya Televisheni vya EATV, ETV na Mwamba wa habari tupo hapa Tutaendelea pia KUKUPA taarifa
Hivyo makala BREAKING NEWS FUATILIA MKUTANO WA RC DSM MUDA HUU
yaani makala yote BREAKING NEWS FUATILIA MKUTANO WA RC DSM MUDA HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS FUATILIA MKUTANO WA RC DSM MUDA HUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/breaking-news-fuatilia-mkutano-wa-rc.html
0 Response to "BREAKING NEWS FUATILIA MKUTANO WA RC DSM MUDA HUU"
Post a Comment