title : Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi na mwakilishi wa UNAIDS
kiungo : Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi na mwakilishi wa UNAIDS
Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi na mwakilishi wa UNAIDS
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 03/08/2017.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 03/08/2017.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.] 03/08/2017.
Hivyo makala Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi na mwakilishi wa UNAIDS
yaani makala yote Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi na mwakilishi wa UNAIDS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi na mwakilishi wa UNAIDS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-dk-shein-akutana-na-mkurugenzi-na.html
0 Response to "Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi na mwakilishi wa UNAIDS"
Post a Comment