Mama wa Mitindo Kuonesha Mavazi Jukwaani USA 4-5/8/2017

Mama wa Mitindo Kuonesha Mavazi Jukwaani USA 4-5/8/2017 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mama wa Mitindo Kuonesha Mavazi Jukwaani USA 4-5/8/2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mama wa Mitindo Kuonesha Mavazi Jukwaani USA 4-5/8/2017
kiungo : Mama wa Mitindo Kuonesha Mavazi Jukwaani USA 4-5/8/2017

soma pia


Mama wa Mitindo Kuonesha Mavazi Jukwaani USA 4-5/8/2017

Inawezekana kuna watu ambao hawajui umuhimu wa Fashion, kumbuka Fashion ni kitu muhimu sana kwa sababu bila Fashion tusinge weza kwenda na wakati kimavazi, hivyo tunapaswa kuwapongeza sana wanamitindo ambao wanaendelea kutuletea mitindi mipya na mizuri ya mavazi Tanzania.
Sasa basi kwa umahiri wake Mma wa mitindo, ambaye ni mkombozi wa Designers wengi hapa Tanznaia, Designer maarufu kama Asya Khamsin Kesho Ijumaa na Jumamosi 5/8/2017 atakuwa kwenye jukwaa akionyesha mitindo yake Washington DC USA, katika tukio la Kenya Reunion mjini Maryland.
Kwako mdau wa mitindo na Fashion, huu ni wakati wako kuendelea  kuonyesha upendo kwenye Tasniya ya hii ili tuzidi kutambulika kimataifa zaidi na mavazi yetu ya Africa.



Hivyo makala Mama wa Mitindo Kuonesha Mavazi Jukwaani USA 4-5/8/2017

yaani makala yote Mama wa Mitindo Kuonesha Mavazi Jukwaani USA 4-5/8/2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mama wa Mitindo Kuonesha Mavazi Jukwaani USA 4-5/8/2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mama-wa-mitindo-kuonesha-mavazi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mama wa Mitindo Kuonesha Mavazi Jukwaani USA 4-5/8/2017"

Post a Comment