DK.Shein akitokea Pemba Kufutarisha Wananchi.

DK.Shein akitokea Pemba Kufutarisha Wananchi. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.Shein akitokea Pemba Kufutarisha Wananchi., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.Shein akitokea Pemba Kufutarisha Wananchi.
kiungo : DK.Shein akitokea Pemba Kufutarisha Wananchi.

soma pia


DK.Shein akitokea Pemba Kufutarisha Wananchi.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiagana na Sheikh Mohamed Suleiman pamoja na Mtoto wake  baada ya Futari aliyoiandaa juzi kwa  ajili ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika viwanja vya Ikulu ya Chakechake
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Nd, Salum Maulid Salum wakati walipokuwa wakibadilishana mawazo na Viongozi (pichani) baada ya Futari aliyoiandaa kwa  ajili ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba juzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiagana na  Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo wakirejea Unguja baada ya Rais kuwafutarisha Wananchi wa Mikoa ya Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakisalimiana na  Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakirejea Pemba leo baada ya Rais kuwafutarisha Wananchi wa Mikoa ya Pemba,
[Picha na Ikulu.] 8/06/2018. 


Hivyo makala DK.Shein akitokea Pemba Kufutarisha Wananchi.

yaani makala yote DK.Shein akitokea Pemba Kufutarisha Wananchi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.Shein akitokea Pemba Kufutarisha Wananchi. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/dkshein-akitokea-pemba-kufutarisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK.Shein akitokea Pemba Kufutarisha Wananchi."

Post a Comment