Alikiba awapa zawadi mashabiki Kwa Kuachia Video Mpya.....Itazame Hapa

Alikiba awapa zawadi mashabiki Kwa Kuachia Video Mpya.....Itazame Hapa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Alikiba awapa zawadi mashabiki Kwa Kuachia Video Mpya.....Itazame Hapa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Alikiba awapa zawadi mashabiki Kwa Kuachia Video Mpya.....Itazame Hapa
kiungo : Alikiba awapa zawadi mashabiki Kwa Kuachia Video Mpya.....Itazame Hapa

soma pia


Alikiba awapa zawadi mashabiki Kwa Kuachia Video Mpya.....Itazame Hapa

Msanii wa muziki wa bongo fleva ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Seduce me' Alikiba ameamua kuachia video ya wimbo wake wa zamani ambao ulivuja kama zawadi kwa mashabiki wake katika siku yake ya kuzaliwa.

Alikiba ambaye jana alikuwa anasherehekea kumbukumbu ya mwaka wa kuzaliwa aliamua kuachia video ya wimbo wa 'Maumivu Per Day' kama njia ya kusherekea siku hiyo na mashabiki zake.

"Nashukuru sana watu ambao wamenitakia kheri katika siku yangu ya kuzaliwa, nimejaliwa, kupendelewa na kupendwa pia nashukuru sana kwa jambo hilo, nawapenda wote na nitafanya kazi kwa nguvu zote kuwafanya mjivunie uwepo wangu. 

"Maumivu Per Day ni kati ya nyimbo zangu za zamani zinazopendwa nimeamua kuitoa japo siyo rasmi ili kusherehekea kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa na mashabiki zangu" alisema Alikiba

==>Kuitazama video hiyo <<BOFYA HAPA>>


Hivyo makala Alikiba awapa zawadi mashabiki Kwa Kuachia Video Mpya.....Itazame Hapa

yaani makala yote Alikiba awapa zawadi mashabiki Kwa Kuachia Video Mpya.....Itazame Hapa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Alikiba awapa zawadi mashabiki Kwa Kuachia Video Mpya.....Itazame Hapa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/alikiba-awapa-zawadi-mashabiki-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Alikiba awapa zawadi mashabiki Kwa Kuachia Video Mpya.....Itazame Hapa"

Post a Comment