title : TANESCO: Hitilafu za Kiufundi Kwenye Gridi ya Taifa
kiungo : TANESCO: Hitilafu za Kiufundi Kwenye Gridi ya Taifa
TANESCO: Hitilafu za Kiufundi Kwenye Gridi ya Taifa
MAJIRA ya saa 7:20 leo hii Alhamisi Novemba 30, imetokea hitilafu kwenye Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha umeme kukatika takriban kwenye mikoa yote iliyounganishwa kwenye Gridi hiyo.
Kwa mujibu wa Kaimu Meneja Uhusiano wa TANESCO, Bi. Leila Muhaji, mafundi na wataalamu wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO wameanza kufuatilia kujua chanzo chake hasa ni nini na taarifa Zaidi zitatolewa kila baada ya muda ili kuufahamisha umma na watuamiaji wa umeme.

Hivyo makala TANESCO: Hitilafu za Kiufundi Kwenye Gridi ya Taifa
yaani makala yote TANESCO: Hitilafu za Kiufundi Kwenye Gridi ya Taifa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANESCO: Hitilafu za Kiufundi Kwenye Gridi ya Taifa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/tanesco-hitilafu-za-kiufundi-kwenye.html
0 Response to "TANESCO: Hitilafu za Kiufundi Kwenye Gridi ya Taifa"
Post a Comment