TABOA BADO WASUBIRI KUKUTANA NA WAZIRI MKUU,YAWAOMBA WAMILIKI WA MABASI KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA ZA USAFIRI

TABOA BADO WASUBIRI KUKUTANA NA WAZIRI MKUU,YAWAOMBA WAMILIKI WA MABASI KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA ZA USAFIRI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TABOA BADO WASUBIRI KUKUTANA NA WAZIRI MKUU,YAWAOMBA WAMILIKI WA MABASI KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA ZA USAFIRI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TABOA BADO WASUBIRI KUKUTANA NA WAZIRI MKUU,YAWAOMBA WAMILIKI WA MABASI KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA ZA USAFIRI
kiungo : TABOA BADO WASUBIRI KUKUTANA NA WAZIRI MKUU,YAWAOMBA WAMILIKI WA MABASI KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA ZA USAFIRI

soma pia


TABOA BADO WASUBIRI KUKUTANA NA WAZIRI MKUU,YAWAOMBA WAMILIKI WA MABASI KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA ZA USAFIRI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wasafirishaji wa Mabasi Tanzania(TABOA) Enea Mrutu amewaomba wamiliki wote wa mabasi nchini kuendelea kutoa huduma za kusafirisha abiria kwa umakini wa hali ya juu kwa kuhakikisha hawasababishi ajali wakati wakiendelea kusubiri kukuona na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ili watoe kilio chao.

TABOA iliomba kuonana na Waziri Mkuu kwa ajili ya kutoa malalamiko yao kutokana kwa madai kuna sheria na kanuni za usalama barabarani ambazo  ni kandamizi kwao na zimekuwa zikiwaweka katika wakati mgumu katika kutoa huduma ya kusafirisha abiria nchii.

Hata hivyo TABOA bado hawajafanikiwa kuonana naye ingawa tayari ameshawapa maelekezo kuwa wakati wowote atakutana nao na kisha kuwasikiliza ili kupata muafaka kwa kushirikiana na wadau wengine wa usafiri wakiwamo Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini(Sumatra).

Akizungumza na Michuzi Blog leo jijini Dar es Salaam Mrutu amesema wanatambua majukumu aliyonayo Waziri Mkuu hivyo wana imani akipata muda watakutana naye na kisha kuzungumza kwa kina kuhusu changamoto ambazo wanakabiliana nazo watoa huduma ya usafiri nchini.

"Ombi letu kwa wanachama wa Taboa waendelee kutoa huduma bora ikiwa pamoja na kuwa makini barabarani ili kuepuka ajali.Tunamatumaini makubwa na Waziri Mkuu, hivyo tunajua akipata muda atatuita ,nasi tupo tunasubiri.Hivyo wakati tunaendelea kumsubiri tuendelee kutoa huduma ya usafiri bila kuchoka,"amesema Mrutu.



Hivyo makala TABOA BADO WASUBIRI KUKUTANA NA WAZIRI MKUU,YAWAOMBA WAMILIKI WA MABASI KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA ZA USAFIRI

yaani makala yote TABOA BADO WASUBIRI KUKUTANA NA WAZIRI MKUU,YAWAOMBA WAMILIKI WA MABASI KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA ZA USAFIRI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TABOA BADO WASUBIRI KUKUTANA NA WAZIRI MKUU,YAWAOMBA WAMILIKI WA MABASI KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA ZA USAFIRI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/taboa-bado-wasubiri-kukutana-na-waziri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TABOA BADO WASUBIRI KUKUTANA NA WAZIRI MKUU,YAWAOMBA WAMILIKI WA MABASI KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA ZA USAFIRI"

Post a Comment