title : BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA
kiungo : BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA
BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA
Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Jane Ikira, akimkaribisha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa, alipotembelea banda la benki hiyo. Katikati ni Meneja Mahusiano wa benki hiyo anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Shima Danford.
Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Shima Danford (katikati), akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa.
Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Shima Danford, akizungumza na waandishi wa habari.
Jane Ikira, akimkabidhi zawadi Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa.
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika banda lao wakati wa mkutano wa mashauriano na wadau na maonyesho ya bidhaa na huduma za ujenzi yanayofanyika mkoani Dodoma.
Hivyo makala BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA
yaani makala yote BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/benki-ya-crdb-yadhamini-mkutano-wa_29.html
0 Response to "BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA"
Post a Comment