title : MANISPAA YA UBUNGO YAINGIA MKATABA NA BENKI YA CRDB KUTOA MIKOPO YA VIJANA NA WANAWAKE
kiungo : MANISPAA YA UBUNGO YAINGIA MKATABA NA BENKI YA CRDB KUTOA MIKOPO YA VIJANA NA WANAWAKE
MANISPAA YA UBUNGO YAINGIA MKATABA NA BENKI YA CRDB KUTOA MIKOPO YA VIJANA NA WANAWAKE
Meya wa Manispaa ya Ubungo,Boniface Jacob akizungumza kabla ya kutiliana Saini Mkataba na Benki ya CRDB Juu ya Mikopo ya kina Mama na Vijana wa Halmashauri ya Ubungo .
Meya wa Manispaa ya Ubungo,Boniface Jacob akitia saini Mkataba wa makubaliano wa kushirikiana na benki ya CRDB Kutoa Mikopo kwa kina Mama na Vijana wa Halmashauri ya Ubungo .
Mkurugenzi wa Halamashauri ya Manispaa ya Ubungo, John Kayombo akizungumza kabla ya kumkaribisha mwakilishi wa benki ya CRDB Kuelezea walivyojipanga kutoa mikopo kwa kina Mama na Vijana wa Halmashauri ya Ubungo .
Muwakilishi wa Benki ya CRDB, Philip Stephene akizungumza kuhusu benki yake itakavyotoa mikopo kwa kina Mama na Vijana wa Halmashauri ya Ubungo .
Sehemu ya Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Wakishuhudia tukioa la utiaji saini baina ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo na CRDB kwa kina Mama na Vijana wa Halmashauri ya Ubungo .
Sehemu ya Wafanyakazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo wakifutilia tukio hilo la utiaji saini na benki ya CRDB
Hivyo makala MANISPAA YA UBUNGO YAINGIA MKATABA NA BENKI YA CRDB KUTOA MIKOPO YA VIJANA NA WANAWAKE
yaani makala yote MANISPAA YA UBUNGO YAINGIA MKATABA NA BENKI YA CRDB KUTOA MIKOPO YA VIJANA NA WANAWAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MANISPAA YA UBUNGO YAINGIA MKATABA NA BENKI YA CRDB KUTOA MIKOPO YA VIJANA NA WANAWAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/manispaa-ya-ubungo-yaingia-mkataba-na.html
0 Response to "MANISPAA YA UBUNGO YAINGIA MKATABA NA BENKI YA CRDB KUTOA MIKOPO YA VIJANA NA WANAWAKE"
Post a Comment