WATAALAMU WA MASUALA YA MAABARA WAAGIZWA KUFUATA UTARATIBU ULIOWEKWA NA SERIKALI

WATAALAMU WA MASUALA YA MAABARA WAAGIZWA KUFUATA UTARATIBU ULIOWEKWA NA SERIKALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATAALAMU WA MASUALA YA MAABARA WAAGIZWA KUFUATA UTARATIBU ULIOWEKWA NA SERIKALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATAALAMU WA MASUALA YA MAABARA WAAGIZWA KUFUATA UTARATIBU ULIOWEKWA NA SERIKALI
kiungo : WATAALAMU WA MASUALA YA MAABARA WAAGIZWA KUFUATA UTARATIBU ULIOWEKWA NA SERIKALI

soma pia


WATAALAMU WA MASUALA YA MAABARA WAAGIZWA KUFUATA UTARATIBU ULIOWEKWA NA SERIKALI

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

Serikali imewaagiza wamiliki wa maabara binafsi kote nchini kuzingatia na kufuata tartibu zilizoweka katika kutoa huduma hili kufikia viwango vinavyohitajika katika sera ya utoaji huduma za afya.

Maagizo hayo yametolewa leo jijini Dar es Salaam na Msajili wa Mabara binafsi za Afya, Dikson Majige alipokuwa akifungua mafunzo ya kuelimisha wataalamu wa maabara kuhusu utaratibu na mikakati ya urasimishwaji.

Majige amesema kuwa mafunzo hayo yatumike kutekeleza mikakati mipya na ya kudumu ya huduma za maabara za afya katika nafasi zao za kazi.“mafunzo haya yatumike kutekeleza kazi kwa juhudi ,maarifa na uaminifu mkubwa kufanikisha usimamiaji mzuri wa maabara za afya nchini na kutoa huduma zenye ubora na viwango vya kimataifa” amesema Majige.

Amewataka kila mmoja kufanya tathmini ya huduma anayotoa ili kujijua kuwa kama anawajibika ipasavyo katika utendaji wake wa kazi.Amesema kuwa wamiliki na wasimamizi wa huduma za maabara wajiweke tayari kutoa huduma bora Zaidi ambazo zitakuwa mfano kwa wengine.
Mkufunzi wa Masuala ya Uongozi na Menejimenti katika Maabara, Mayala Lushina akitoa mafunzo kwa wataalamu wa Maabara za afya juu ya utaratibu na mikakati ya Urasimishwaji katika Chuo cha Maabara Muhimbili
Mwenyekiti wa Institute ofa Laboratory (EA) Limited , Sabas Mrina akizungumza na Wataalamu wa Maabara za afya umuhimu wa wao kurasimishwa mamlaka za serikali
Mkufunzi wa utambuzi wa bidhaa na vifaa bora vya Maabara Colman Msuya , akiwaeleza wataalamu hao wa Maabara za Afya umuhimu wa kukagua vifaa vyao kabla ya kuanza kutumia ili kuepuka kupata majibu yasiyo sahihi kwa kutumia vifaa visivyo na ubora.
Wataalamu wa Maabara wakifuatilia somo Kuhusu utaratibu na mikakati ya urasimishwaji wa maabara za afya katika Shule ya Maabara Muhimbili-- 


Hivyo makala WATAALAMU WA MASUALA YA MAABARA WAAGIZWA KUFUATA UTARATIBU ULIOWEKWA NA SERIKALI

yaani makala yote WATAALAMU WA MASUALA YA MAABARA WAAGIZWA KUFUATA UTARATIBU ULIOWEKWA NA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATAALAMU WA MASUALA YA MAABARA WAAGIZWA KUFUATA UTARATIBU ULIOWEKWA NA SERIKALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/wataalamu-wa-masuala-ya-maabara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATAALAMU WA MASUALA YA MAABARA WAAGIZWA KUFUATA UTARATIBU ULIOWEKWA NA SERIKALI"

Post a Comment