title : WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA KIKAO CHA WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUJADILI KANUNI ZA UANZISHWAJI WA JESHI USU
kiungo : WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA KIKAO CHA WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUJADILI KANUNI ZA UANZISHWAJI WA JESHI USU
WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA KIKAO CHA WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUJADILI KANUNI ZA UANZISHWAJI WA JESHI USU
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (aliyesimama), akifungua kikao cha Wakuu wa Vyombo ya Ulinzi na Usalama cha kujadili kanuni za kuanzishwa kwa Jeshi Usu la Uhifadhi wa Wanyama Pori na Misitu Nchini, kilichofanyika leo TANAPA Makao Makuu mkoani Arusha. Picha na Jeshi la Polisi.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (aliyesimama), akitoa hotuba ya ufunguzi mbele ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini Jenerali Venance Mabeyo (Katikati) na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, na wajumbe wengine (hawapo pichani) kwenye kikao cha kujadili kanuni za kuanzishwa kwa Jeshi Usu la Uhifadhi wa Wanyama Pori na Misitu nchini, kilichofanyika leo TANAPA Makao Makuu mkoani Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla, akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya kumaliza kikao cha ufunguzi wa kujadili kanuni za kuanzishwa kwa Jeshi Usu la Uhifadhi wa wanyama pori na misitu nchini, kilichofanyika leo TANAPA Makao Makuu mkoani Arusha. Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA KIKAO CHA WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUJADILI KANUNI ZA UANZISHWAJI WA JESHI USU
yaani makala yote WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA KIKAO CHA WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUJADILI KANUNI ZA UANZISHWAJI WA JESHI USU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA KIKAO CHA WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUJADILI KANUNI ZA UANZISHWAJI WA JESHI USU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/waziri-kigwangalla-afungua-kikao-cha.html
0 Response to "WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA KIKAO CHA WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUJADILI KANUNI ZA UANZISHWAJI WA JESHI USU"
Post a Comment