TCRA WATOA LESENI KWA BLOGER.

TCRA WATOA LESENI KWA BLOGER. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TCRA WATOA LESENI KWA BLOGER., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TCRA WATOA LESENI KWA BLOGER.
kiungo : TCRA WATOA LESENI KWA BLOGER.

soma pia


TCRA WATOA LESENI KWA BLOGER.

 Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba akizungumza na wadau mbalimbali wa mitando leo jijini Dar es Salaam

MWAMBA WA HABARI
NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekabidhi leseni za kufanya huduma ya kutoa habari kwa njia ya mtandao kwa Blogs, Online TV na Online Redio ambazo zimekamilisha usajili na kulipa ada ya leseni.
Zaidi mitandao 45 ikiwemo Blogs na Online TV zimekabidhiwa leseni ya kufanya huduma hizo huku waombaji walikuwa zaidi ya 200 kati ya hao 65 wamefanikuwa kukubaliwa maombi yao.
Akizungumza  waandishi wa habari Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba amesema kuwa  zoezi hilo endelevu lina lengo la kuzuia uanzishwaji holela wa blogs na online tv ambazo unazinaweza  kusababisha madhara kwa jamii.
“Jambo la kwaza tunazuia uanzishwaji holela wa vyombo vya habari mtandaoni usiokidhi viwango vinavyotakiwa, ikumbukwe kwamba umiliki wa vyombo vya habari bila tozo unaweza ukaleta utitiri wa vyombo hivi na ikawa changamoto katika usimamizi na kwa jamii,” amesema Mhandisi James Kulaba.




Hivyo makala TCRA WATOA LESENI KWA BLOGER.

yaani makala yote TCRA WATOA LESENI KWA BLOGER. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TCRA WATOA LESENI KWA BLOGER. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/tcra-watoa-leseni-kwa-bloger.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TCRA WATOA LESENI KWA BLOGER."

Post a Comment