title : RAIS DKT SHEIN AZINDUA KLINIKI YA MENO KIVUNGE KASKAZI UNGUJA.2
kiungo : RAIS DKT SHEIN AZINDUA KLINIKI YA MENO KIVUNGE KASKAZI UNGUJA.2
RAIS DKT SHEIN AZINDUA KLINIKI YA MENO KIVUNGE KASKAZI UNGUJA.2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa kliniki ya Meno ambayo katika Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja,kliniki hiyo inaendeshwa kwa usimamizi wa Taasisi ya HIPZ kutoka Nchini Uingereza ambayo inatoa huduma za Afya katika Hospitali hiyo pamoja na Makunduchi Hospital Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed[Picha na Ikulu.] 30/10/2018.
Hivyo makala RAIS DKT SHEIN AZINDUA KLINIKI YA MENO KIVUNGE KASKAZI UNGUJA.2
yaani makala yote RAIS DKT SHEIN AZINDUA KLINIKI YA MENO KIVUNGE KASKAZI UNGUJA.2 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT SHEIN AZINDUA KLINIKI YA MENO KIVUNGE KASKAZI UNGUJA.2 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/rais-dkt-shein-azindua-kliniki-ya-meno.html
0 Response to "RAIS DKT SHEIN AZINDUA KLINIKI YA MENO KIVUNGE KASKAZI UNGUJA.2"
Post a Comment