title : ROCK CITY MARATHON 2018 ILIVYONOGA: Watanzania, Wakenya wang’ara Rock City Marathon
kiungo : ROCK CITY MARATHON 2018 ILIVYONOGA: Watanzania, Wakenya wang’ara Rock City Marathon
ROCK CITY MARATHON 2018 ILIVYONOGA: Watanzania, Wakenya wang’ara Rock City Marathon
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza , John Mongella (katikati) akikabidhi zawadi ya cheti,medali na pesa taslimu kiasi cha sh mil. 4 kwa mwanariadha Mourice Masima Kutoka Kenya aliemaliza katika nafasi ya kwanza kwenye mbio za km 42 Rock City Marathon zilizofanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki baada ya kutumia muda wa saa 2:19:14.
Meneja Mahusiano wa Kampuni ya Kuhifadhi Mafuta ya TIPER, Bw Emmanuel Kondi akikabidhi zawadi ya cheti,medali na pesa taslimu kiasi cha sh mil. 4 kwa mshindi wa kwanza mbio za km 42 kwa wanawake mwanariadha Naomi Jepngetich kutoka Kenya aliyetumia muda wa saa 02:44:19 kukamilisha mbio hizo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw John Mongella. TIPER ni moja ya wadhamini wakubwa wa mbio hizo.
Mwakilishi kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Bi. Flora Ndutta akikabidhi zawadi ya cheti,medali na pesa taslimu kiasi cha sh mil. 3 kwa mshindi wa kwanza mbio za km 21 mwanariadha Failuna Matanga kutoka Tanzania.
Mwenyekiti wa Chama cha Riadha Mkoa wa Mwanza (MWAA) Bw Silas Lucas (kulia) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa kwanza mbio za KM 21 Emmanuel Giniki kutoka Tanzania alietumia saa 1:04:09 akifuatiwa na Mkenya Daniel Kayioki alietumia muda wa saa 1:04:47.
Baadhi ya washiriki wa mbio za km 5 wakimalizia mbio hizo zilizohitimishwa kwenye viunga vya jengo la Rock City Marathon.
Hivyo makala ROCK CITY MARATHON 2018 ILIVYONOGA: Watanzania, Wakenya wang’ara Rock City Marathon
yaani makala yote ROCK CITY MARATHON 2018 ILIVYONOGA: Watanzania, Wakenya wang’ara Rock City Marathon Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ROCK CITY MARATHON 2018 ILIVYONOGA: Watanzania, Wakenya wang’ara Rock City Marathon mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/rock-city-marathon-2018-ilivyonoga.html
0 Response to "ROCK CITY MARATHON 2018 ILIVYONOGA: Watanzania, Wakenya wang’ara Rock City Marathon"
Post a Comment