Taasisi ya Haftrade inajenga madarasa mawili Handeni

Taasisi ya Haftrade inajenga madarasa mawili Handeni - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Taasisi ya Haftrade inajenga madarasa mawili Handeni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Taasisi ya Haftrade inajenga madarasa mawili Handeni
kiungo : Taasisi ya Haftrade inajenga madarasa mawili Handeni

soma pia


Taasisi ya Haftrade inajenga madarasa mawili Handeni



Na Heri Shaaban,Handeni Tanga
Mwambawahabari
TAASISI isiyo ya Kiserikali ya Haftrade Iliyopo Handeni Mjini Mkoani inajenga madarasa mawili katika wilaya hiyo ili kuungana na serikali katika mpango wa elimu bure.


Akizungumza katika ziara ya kukagua ujenzi wa madarasa mwishoni mwa wiki Handeni Mjini Mkoni Tanga Mkurugenzi wa Taasisi ya Haftrade Thecla Mingwa alisema ujenzi wa madarasa hayo yapo katika hatua za mwisho ili kuwezesha wanafunzi kusoma.

Mingwa alisema Hafrade ina wanachama hai 20 mpaka sasa, ni taasisi iliyosajiliwa inashughulika na shughuli za kijamii ikiwemo, elimu,Mazingira,Afya na Maji vijijini.

"  Taasisi yangu ya Hafrade  wakati ikiendelea kusimamia ujenzi huo mkakati wake kutafuta wadau kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya shule ya sekondari ya Kwenjugo, pia kutoa elimu pamoja na kupanda miti ya matunda na mikorosho" alisema Mingwa.

Mingwa alisema shirika lao mikakati mingine liwe pana Kimkoa hadi Taifa wawe wabunifu katika kusimamia kazi za Serikali ya awamu ya tano .

Aidha alisema mikakati mingine kuwa na mashamba makubwa kuyaendesha kwa kilimo .

Alisema Hafrade inashirikiana na Shirika la Save Childern  katika shughuli zake mbalimbali katika kuleta maendeleo.

"Hafrade inatoa huduma zake Handeni Mjini yenye Kata, 12 ambazo ni Chanika, Kidereko, Konje, Kwamagome,Kwediyamba,Kwenjugo Mangaribi   ,Kwenjugo Mashariki,Mabanda,malezi ,mlimani, msasa na vibaoni"alisema.

Mingwa alisema katika utendaji wa shughuli zake Haftrade imegawanyika katika idara nne ambazo ni idara ya elimu, idara ya Afya, idara ya mazingira, na idara ya maji na inaendesha shughuli zake kwa kushirikiana na serikali kuakikiasha malengo na mikakati iliyopangwa inatumia.

Alitaja kazi za baadhi ya idara hizo kuwa ni Idara maji kulinda vyanzo vya maji, idara ya mazingira kuandaa maeneo ya shamba kwa ajili ya kilimo cha shamba darasa.cha mihogo na korosho.



Hivyo makala Taasisi ya Haftrade inajenga madarasa mawili Handeni

yaani makala yote Taasisi ya Haftrade inajenga madarasa mawili Handeni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Haftrade inajenga madarasa mawili Handeni mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/taasisi-ya-haftrade-inajenga-madarasa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Taasisi ya Haftrade inajenga madarasa mawili Handeni"

Post a Comment