WAISLAMU DHEHEBU LA SHIA ITHNA ASHERI IMAMIA MWANZA WASHIRIKI IBADA KANISANI

WAISLAMU DHEHEBU LA SHIA ITHNA ASHERI IMAMIA MWANZA WASHIRIKI IBADA KANISANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAISLAMU DHEHEBU LA SHIA ITHNA ASHERI IMAMIA MWANZA WASHIRIKI IBADA KANISANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAISLAMU DHEHEBU LA SHIA ITHNA ASHERI IMAMIA MWANZA WASHIRIKI IBADA KANISANI
kiungo : WAISLAMU DHEHEBU LA SHIA ITHNA ASHERI IMAMIA MWANZA WASHIRIKI IBADA KANISANI

soma pia


WAISLAMU DHEHEBU LA SHIA ITHNA ASHERI IMAMIA MWANZA WASHIRIKI IBADA KANISANI

Mwenyekiti wa The Desk & Chair Foundation Sibtain Meghjee ambaye pia ni Mwenyekiti wa The Bilal Muslim Mission of Tanzania Kanda ya Ziwa akisisitiza jambo katika ibada iliyofanyika katika Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) Bwiru jijini Mwana, mwenyekiti huyo na waumini baadhi ya dini ya Kiislamu waliakwa kushiriki kwenye ibada hiyo ambayo imeandika historia mpya baina ya Waislamu na Wakristo kuwa wote ni wamoja na wanamuabudu Mungu mmoja.Kutoka kushoto wa pili ni Kaimu Katibu Mkuu wa kanisa hilo Philipo Majuja.

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA

WAISLAMU wa madhehebu ya Shia Ithna Asheri Imamia wamesema kitendo cha Wakristo wa Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) cha kuwaalika kushiriki Ibada kanisani kimefungua ukurasa mpya kwa waumini wa madhehebu hayo nchini.

Mwenyekiti wa Taasisi ya The Desk & Chair Foundation (TD&CF) Tawi la Tanzania Alhaji Sibtain Meghjee ametoa kauli hiyo juzi katika Ibada iliyofanyika katika Kanisa la AICT Bwiru jijini Mwanza ambapo alikabidhi fimbo 11 kwa walemavu wa macho,vitabu vya Kuran na kalenda kwa waumini wa kanisa hilo.

"Mambo mengi yaliyopo kwenye Biblia na Kuran asilimia 90 yanafanana na kinachotakiwa kwa waumini wa dini zote za Kikristo na Kiislamu ni kuvumiliana kutokana na imani zao na hivyo ushirikiano huo utadumisha amani na utulivu kwenye jamii bila kubaguana kwa kutofautiana kiimani,"amesema.
Sheikh wa Bilal Muslim Mission of Tanzania Sheikh Hashim Ramadhan akitoa neno kwa waumini wa kanisa la AICT Bwiru wakati wa ibada iliyowashirikisha pia waumini wa dini ya Kiislamu akisema wote ni watoto wa baba na mama mmoja na wanamwabudu Mungu mmoja na hakuna sababu ya kuchukiana bali kupendana.

Meghjee ambaye pia ni Mwenyekiti wa The Bilal Muslim Mission of Tanzania Kanda ya Ziwa amesema wapo baadhi ya watu wenye nia mbaya wamekuwa wakieneza propaganda chafu dhidi ya Uislamu wakiwahusisha na mambo mabaya kwenye jamii na kuipongeza serikali kwa kuanzisha kamati ya amani Mkoa wa Mwanza na kuufanya kuwa wa jamii moja bila kubaguana.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Hivyo makala WAISLAMU DHEHEBU LA SHIA ITHNA ASHERI IMAMIA MWANZA WASHIRIKI IBADA KANISANI

yaani makala yote WAISLAMU DHEHEBU LA SHIA ITHNA ASHERI IMAMIA MWANZA WASHIRIKI IBADA KANISANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAISLAMU DHEHEBU LA SHIA ITHNA ASHERI IMAMIA MWANZA WASHIRIKI IBADA KANISANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/waislamu-dhehebu-la-shia-ithna-asheri.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAISLAMU DHEHEBU LA SHIA ITHNA ASHERI IMAMIA MWANZA WASHIRIKI IBADA KANISANI"

Post a Comment