title : RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA
kiungo : RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA
RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha Tanzania nchini Cuba Mhe. Alphayo Kidata alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha Tanzania nchini Cuba Mhe. Alphayo Kidata alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha Tanzania nchini Cuba Mhe. Alphayo Kidata baada ya mazungumzo yao alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha Tanzania nchini Cuba Mhe. Alphayo Kidata baada ya mazungumzo yao alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Hivyo makala RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA
yaani makala yote RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/rais-dk-shein-akutana-na-balozi-mpya-wa.html
0 Response to "RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA"
Post a Comment