title : KATIBU MKUU UJENZI ATETA NA WAKUU WA TAASISI ZILIZO CHINI YA SEKTA YAKE
kiungo : KATIBU MKUU UJENZI ATETA NA WAKUU WA TAASISI ZILIZO CHINI YA SEKTA YAKE
KATIBU MKUU UJENZI ATETA NA WAKUU WA TAASISI ZILIZO CHINI YA SEKTA YAKE
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi). Arch. Elius Mwakalinga, akifafanua jambo kwa Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara yake jijini Dodoma, leo katika kikao kazi cha kujadili majukumu ya Taasisi hizo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi). Arch. Elius Mwakalinga (katikati), akisikiliza uwasilishwaji wa taarifa za utekelezaji kutoka katika taasisi zilizo chini ya sekta yake jijini Dodoma, leo kwenye kikao kazi cha kujadili majukumu ya Taasisi hizo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizarani hapo Bi. Elizabeth Tagora.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya Ujenzi), Bi. Elizabeth Tagora, akizungumza na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo jijini Dodoma, leo katika kikao kazi cha kujadili majukumu ya Taasisi hizo.
Meneja miradi kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS). Eng. Crispianus Ako, akitoa taarifa ya utekezaji wa Wakala huo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi). Arch. Elius Mwakalinga, (hayupo pichani), katika kikao kazi cha kujadili majukumu ya Taasisi hizo jijini Dodoma, leo.
Baadhi ya Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Arch. Elius Mwakalinga, wakati akifungua kikao kazi cha kujadili majukumu ya Taasisi hizo jijini Dodoma, leo.
Hivyo makala KATIBU MKUU UJENZI ATETA NA WAKUU WA TAASISI ZILIZO CHINI YA SEKTA YAKE
yaani makala yote KATIBU MKUU UJENZI ATETA NA WAKUU WA TAASISI ZILIZO CHINI YA SEKTA YAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU UJENZI ATETA NA WAKUU WA TAASISI ZILIZO CHINI YA SEKTA YAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/katibu-mkuu-ujenzi-ateta-na-wakuu-wa_2.html
0 Response to "KATIBU MKUU UJENZI ATETA NA WAKUU WA TAASISI ZILIZO CHINI YA SEKTA YAKE"
Post a Comment