MAUAJI YA WATOTO NJOMBE BADO TISHIO

MAUAJI YA WATOTO NJOMBE BADO TISHIO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAUAJI YA WATOTO NJOMBE BADO TISHIO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAUAJI YA WATOTO NJOMBE BADO TISHIO
kiungo : MAUAJI YA WATOTO NJOMBE BADO TISHIO

soma pia


MAUAJI YA WATOTO NJOMBE BADO TISHIO


 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjoSS7j7PamVBT5Mc5BGiAwXdB1NB3bIH4n4o2QUQBRwJFVJWqFVMaAAS9JR-7t3ccLMMGwBKx_p8BYVF_hZmb4IuvrkhAnc9WOoNkNGeUnyw-HQhICw6gsz4Zvy3-IZGNYmC4vv19awAY/s1600/50068027_773330986364592_6128322350230709535_n.jpg


Mtoto wa miaka 10, ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili, amekutwa ameuawa kikatili na mwili wake kutelekezwa kichakani eneo la Lupembe, wilayani Njombe wakati akitoka shuleni jana.

Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema:,” Ni kweli mtoto kwa jina  Rachael Malekela (7), mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya Msingi Matembewe  ameuawa nyuma tu ya nyumba yao na kutupwa kwenye shamba la miti.”

 Mwenyekiti wa kijiji cha Matembwe, Brayson Malekela amesema wazazi wa mtoto huyo walibaini kutoonekana nyumbani jana saa 12 jioni, walitoa taarifa katika uongozi wa kijiji na wananchi kuanza kumtafuta na saa 4 usiku walikuta mwili wa mtoto huyo katika msitu wa miti mipana uliopo kijijini hapo.


Hivyo makala MAUAJI YA WATOTO NJOMBE BADO TISHIO

yaani makala yote MAUAJI YA WATOTO NJOMBE BADO TISHIO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAUAJI YA WATOTO NJOMBE BADO TISHIO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mauaji-ya-watoto-njombe-bado-tishio.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAUAJI YA WATOTO NJOMBE BADO TISHIO"

Post a Comment