MBWANA SAMATTA AWAPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUTWAA UBINGWA WA CECAFA, ATOA NENO KWA TFF

MBWANA SAMATTA AWAPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUTWAA UBINGWA WA CECAFA, ATOA NENO KWA TFF - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBWANA SAMATTA AWAPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUTWAA UBINGWA WA CECAFA, ATOA NENO KWA TFF, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBWANA SAMATTA AWAPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUTWAA UBINGWA WA CECAFA, ATOA NENO KWA TFF
kiungo : MBWANA SAMATTA AWAPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUTWAA UBINGWA WA CECAFA, ATOA NENO KWA TFF

soma pia


MBWANA SAMATTA AWAPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUTWAA UBINGWA WA CECAFA, ATOA NENO KWA TFF

Na Zainab Nyamka, Globu ya jamii

MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa kulipwa wa Tanzania anayekipiga GRC Genk ya nchini Ubelgiji Mbwana Ally Samatta amewapongeza wachezaji wa kikosi cha chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' kwa kunyakua ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) Challenge Cup.

Michuano hiyo imefanyika nchini Burundi kwa kuzikutanisha timu za Afrika Mashariki na Kati ambapo kikosi hicho kimerudi na taji nchini.Samatta kupitia ukurasa wake wa Twitter Samatta amewapongeza wachezaji hao kwa kushinda michezo yote mpaka kufikia  hatua ya fainali na kuwafunga timu ya Somalia kwenye mchezo wa fainali.

Pia Samatta amelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuwa na mipango endelevu kwa ajili ya vijana hao  wanaojiandaa na fainali za Mataifa Afrika (AFCON) chini ya miaka 17 yanayotarajiwa kufanyika hapa nchini mwakani.

Serengeti Boys waliowasili jana jijini Dar es Salaam wakitokea Burundi kulipokua kunafanyika michuano hiyo ya CECAFA ambapo wamepokelewa na  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk.Harrison Mwakyembe sambamba na Rais wa TFF Wallace Karia.

Kwa sasa vijana hao wamepewa mapumziko kwa muda kabla ya kurejea tena kambini kwa ajili ya kuendelea na mazoezi ya kujiandaa na michuano ya AFCON wakiwa chini ya Kocha Ammy Ninje. 


Hivyo makala MBWANA SAMATTA AWAPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUTWAA UBINGWA WA CECAFA, ATOA NENO KWA TFF

yaani makala yote MBWANA SAMATTA AWAPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUTWAA UBINGWA WA CECAFA, ATOA NENO KWA TFF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBWANA SAMATTA AWAPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUTWAA UBINGWA WA CECAFA, ATOA NENO KWA TFF mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/mbwana-samatta-awapongeza-serengeti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBWANA SAMATTA AWAPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUTWAA UBINGWA WA CECAFA, ATOA NENO KWA TFF"

Post a Comment