MWANZA WAZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA

MWANZA WAZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANZA WAZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANZA WAZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA
kiungo : MWANZA WAZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA

soma pia


MWANZA WAZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA

Picha juu na chini ni mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella (wa tano kulia) na Mkurugenzi wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida (wa sita kushoto) kwa pamoja wakizindua Mwongozo wa Uwekezaji mkoani Mwanza iliyoandaliwa na ESRF na kufadhiliwa na UNDP. 

Wanaoshuhudia tukio hilo ni Mkuu na Mtaalamu wa Miradi UNDP Tanzania, Amon Manyama (wa nne kushoto), Mwenyekiti wa Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) Dkt. Samuel Nyantahe (wa tano kushoto), Kamishna wa Jeshi la Polisi Bw. Clodwing Mtweve (wa pili kulia) pamoja na viongozi wa madhehebu ya dini na wa mkoa wa Mwanza katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella na meza kuu wakionyesha nakala za Mwongozo wa Uwekezaji wa mkoa huo baada ya kuzinduliwa rasmi katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella katika picha ya pamoja na Wakuu wa wilaya za jiji la Mwanza huku wakiwa wameshika nakala za Mwongozo wa Uwekezaji wa mkoa wa Mwanza uliondaliwa na ESRF chini ya ufadhili wa UNDP.



Hivyo makala MWANZA WAZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA

yaani makala yote MWANZA WAZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANZA WAZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mwanza-wazindua-mwongozo-wa-uwekezaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWANZA WAZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI WA MKOA"

Post a Comment