KRANTZ MANTEPELE ni miongoni mwa Bloggers 50 duniani walioalikwa kiushuhudia kombe la dunia Urusi

KRANTZ MANTEPELE ni miongoni mwa Bloggers 50 duniani walioalikwa kiushuhudia kombe la dunia Urusi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KRANTZ MANTEPELE ni miongoni mwa Bloggers 50 duniani walioalikwa kiushuhudia kombe la dunia Urusi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KRANTZ MANTEPELE ni miongoni mwa Bloggers 50 duniani walioalikwa kiushuhudia kombe la dunia Urusi
kiungo : KRANTZ MANTEPELE ni miongoni mwa Bloggers 50 duniani walioalikwa kiushuhudia kombe la dunia Urusi

soma pia


KRANTZ MANTEPELE ni miongoni mwa Bloggers 50 duniani walioalikwa kiushuhudia kombe la dunia Urusi

Mwanablogu kutoka Tanzania Krantz Mwantepele kutoka blog ya Mwanaharakati Mzalendo amechaguliwa na serikali ya Russia kuwa miongoni mwa Bloggers na social media influencers 50 dunia nzima kutembelea nchi hiyo kabla michuano hiyo haijaanza mapema Juni 14.
Mtanzania huyo pamoja na wenzake atapata fursa ya kutembelea viwanja vyote 5 ambavyo ni Krestovsky Stadim, Fisht Olympic Stadium, Cosco Arena, pamona na Ekaterinburg Arena.z
Krantz ambaye pia ni Katibu wa Tanzania Bloggers Network (TBN), alisema yeye aliomba nafasi hiyo kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutumiwa link na marafiki zake.
“Nafurahi kuwa mmoja ya Bloggers na social media influencers 50 dunia nzima kualikwa na serikali ya Urusi kufanya Coverage ya kombe la dunia na vivutio mbali mbali vya nchini humo,” alisema Krant.

Krantz akikabidhiwa bendera na Mkurungezi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania, Devotha Mdachi. 
Aliongeza, “Nitakuwa balozi mzuri pia wa utalii wa hapa nchini kwa udhamini mkubwa wa Wonderfultanzania, Nitawakilisha vizuri huko ughaibuni Endelea kufuatilia na koncept_tv na Mwanaharakati Mzalendo Blog nitakupa exclusive zote kupitia huko,”
Mwanabloger huyo pia alipongezwa na wadau mbalimbali ikiwemo serikali pamoja na kukabidhiwa bendera ya Tanzania na Mkurungezi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania, Devotha Mdachi.


Hivyo makala KRANTZ MANTEPELE ni miongoni mwa Bloggers 50 duniani walioalikwa kiushuhudia kombe la dunia Urusi

yaani makala yote KRANTZ MANTEPELE ni miongoni mwa Bloggers 50 duniani walioalikwa kiushuhudia kombe la dunia Urusi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KRANTZ MANTEPELE ni miongoni mwa Bloggers 50 duniani walioalikwa kiushuhudia kombe la dunia Urusi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/krantz-mantepele-ni-miongoni-mwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KRANTZ MANTEPELE ni miongoni mwa Bloggers 50 duniani walioalikwa kiushuhudia kombe la dunia Urusi"

Post a Comment