Korea Kaskazini ipo tayari kukutana na Trump 'wakati wowote'

Korea Kaskazini ipo tayari kukutana na Trump 'wakati wowote' - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Korea Kaskazini ipo tayari kukutana na Trump 'wakati wowote', tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Korea Kaskazini ipo tayari kukutana na Trump 'wakati wowote'
kiungo : Korea Kaskazini ipo tayari kukutana na Trump 'wakati wowote'

soma pia


Korea Kaskazini ipo tayari kukutana na Trump 'wakati wowote'

Korea Kaskazini imeelezea kusikitishwa kwake na hatua ya rais Donald Trump kujitoa katika mazungumzo yaliyopangwa kufanyika juni 12 huko Singapore.
Kwa mujibu wa mashirika ya habari nchini humo, uamuzi huu umekuwa kinyume na matarajio ya dunia.
Inadaiwa kuwa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un alikuwa amefanya jitihada zote katika maandalizi ya mkutano huo na kwamba Pyongyang ilikuwa tayari kuhakikisha tofauti zilizopo kati ya taifa lake na Marekani zinasuluhishwa kwa namna yoyote na popote, lakini Trump mwenyewe amesema uwezekano wa kufanyika mazungumzo hayo bado upo.
Taarifa hizo pia zimeleta mshtuko kwa jumuiya ya kimataifa, ambapo katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres, ameelezea kuguswa kwake na hatua hiyo ya Marekani huku naye rais wa Korea Kusini Moon Jae-In akitoa wito kuwepo kwa mkutano wa dharura wa viongozi wa juu wa usalama kuhusiana na suala hilo.


Hivyo makala Korea Kaskazini ipo tayari kukutana na Trump 'wakati wowote'

yaani makala yote Korea Kaskazini ipo tayari kukutana na Trump 'wakati wowote' Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Korea Kaskazini ipo tayari kukutana na Trump 'wakati wowote' mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/korea-kaskazini-ipo-tayari-kukutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Korea Kaskazini ipo tayari kukutana na Trump 'wakati wowote'"

Post a Comment