Msichana aliyekumiwa kifo nchini Sudan akata rufaa

Msichana aliyekumiwa kifo nchini Sudan akata rufaa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Msichana aliyekumiwa kifo nchini Sudan akata rufaa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Msichana aliyekumiwa kifo nchini Sudan akata rufaa
kiungo : Msichana aliyekumiwa kifo nchini Sudan akata rufaa

soma pia


Msichana aliyekumiwa kifo nchini Sudan akata rufaa

Msichana raia wa Sudan Noura Hussein ambaye alihukumiwa kifo kwa kumuua mume wake kutokana ya madai kuwa alimbaka amekata rufaa.
"Leo tulikata rufaa kwenye mahakama ya rufaa kupinga uamuzi uliotolewa na mahakama ya chini," wakili wake Al-Fateh Hussein aliliambia shirika la AFP Alhamsi.
Mahakama ya Sudan ilimpata na hatia Bi Hussein kwa kuua makusudi mapema mwezi Mei baada ya familia ya mumewe kukataa kufidiwa fedha.
Hatma ya Bi Hussein ambaye sasa yuko miaka 19, ilizua maoani kote duniani na hata kuanzisha kampeni #HakikwaNoura
Baba yake Bi Hussein alimalazimisha kuolewa akiwa na miaka 16 na alikua amejaribu kukimbia.
Baada ya ya familia kumkabidhi kwa mume wake, Bi Hussein alisema mume wake aliwaita binamu zake waliomshika huku akimbaka.
Alimdunga kisu na kumua mumewe wakati alijaribu tena kumbaka siku iliyofuati.
Mahaka ya sharia ilimhumu kifo kwa kunyongwa.
Wakati huo huo kundi la wanaharakati wa kupigania haki za kibinaadamu la Equality Now limesema kuwa litamwandikia rais Omar al-Bashir kumuomba amuonee huruma.
Shirika la Amnesty International limesema kuwa hukumu ya mwanamke ya kifo ambaye alikuwa akijitetea inaangazia uzembe wa serikali kukabiliana na ndoa za watoto , ndoa za lazima na ubakaji katika ndoa.


Hivyo makala Msichana aliyekumiwa kifo nchini Sudan akata rufaa

yaani makala yote Msichana aliyekumiwa kifo nchini Sudan akata rufaa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Msichana aliyekumiwa kifo nchini Sudan akata rufaa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/msichana-aliyekumiwa-kifo-nchini-sudan.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Msichana aliyekumiwa kifo nchini Sudan akata rufaa"

Post a Comment