MKUU WA MKOA WA TABORA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB

MKUU WA MKOA WA TABORA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA MKOA WA TABORA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA MKOA WA TABORA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB
kiungo : MKUU WA MKOA WA TABORA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB

soma pia


MKUU WA MKOA WA TABORA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Agrey Mwanry (wa pili kushoto) akifurahi jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, walipokutana kwa mazungumzo kwenye Makao Makuu ya Benki ya CRDB, Azikiwe jijini Dar es salaam leo. Wengine pichani ni kutoka kulia, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Martha Geleka, Mkurugenzi wa Halmashauri ya  Wilaya ya Nzega, Philemon Magesa pamoja na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa.
 Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Agrey Mwanry (wa tatu kushoto) akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela pamoja na ujumbe wake, walipokutana kwa mazungumzo kwenye Makao Makuu ya Benki ya CRDB, Azikiwe jijini Dar es salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akimueleza jambo, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Agrey Mwanry walipokutana kwa mazungumzo kwenye Makao Makuu ya Benki ya CRDB, Azikiwe jijini Dar es salaam.
picha ya pamoja.


Hivyo makala MKUU WA MKOA WA TABORA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB

yaani makala yote MKUU WA MKOA WA TABORA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA TABORA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mkuu-wa-mkoa-wa-tabora-amtembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUU WA MKOA WA TABORA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB"

Post a Comment