SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA

SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA
kiungo : SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA

soma pia


SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA


Jumuiya Kuu ya Watanzania nchini Uingereza inapenda kuwatangazia Watanzania wote na wana Africa Mashariki wanaoishi nchini Uingereza (UNITED KINGDOM) na IRELAND kuwa Sherehe za Uhuru Mwaka huu zitafanyika katika mji wa Luton siku ya Jumamosi tarehe 08/Desemba/ 2018 kuanzia saa mbili Usiku mpaka majogoo

Ifikapo saa sita usiku tutakuwa na tukio maalum litalofanywa na Mgeni rasmi pamoja wasanii maarufu wanaotegemewa kuwepo siku hiyo kukaribisha usiku wa tarehe 09/Desemba,  siku ya tuliyopata Uhuru 

Kutakuwa na kila aina ya vinywaji, nyama choma, chapatti’s, supu na mahanjumati ya kumwaga! 

Anuani ya Ukumbi

Lewsey Farm Learning Centre Executive Hall
92 Tomlinson Avenue
Luton
LU4 0QQ

Tiketi zinapatikana kupitia akaunti maalum ya Jumuiya kwa ajili ya kuadhimisha miaka 57 ya Uhuru

Kiingilio ni £20pp, Meza moja yenye kuchukua watu nane mpaka kumi ni £200, ili kujipatia tiketi yako deposit £20 kwa mtu mmoja au £200 kwa meza kisha Tuma ujumbe kwenda anuani Pepe tzukdiaspora@gmail.com

Akaunti maalum ya Jumuiya

Jina la Akaunti- UHURU
Bank - LLOYDS
Sortcode - 30 99 08
Akaunti No. 23619960

Burudani na sound system nzito itaporomoshwa na DJ DOUBLE T, DJ CHAMBI NA DJ ANDREW 

Hii si ya kukosa kwani kutakuwa na suprises za kumwaga, 

UHURU DAY TUKUTANE LUTON

Imetolewa na Jumuiya Kuu ya Watanzania UK

TZUK DIASPORA

08 DECEMBER 2018.

UMOJA NI NGUVU NA PAMOJA TUNAWEZA


Hivyo makala SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA

yaani makala yote SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/sherehe-za-uhuru-wa-tanzania-na-kenya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA KENYA KUFANYIKA KATIKA JIJI LA LUTON NCHINI UINGEREZA"

Post a Comment