BAGAMOYO YAFANYA TATHMINI YA MAFURIKO -LATU

BAGAMOYO YAFANYA TATHMINI YA MAFURIKO -LATU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BAGAMOYO YAFANYA TATHMINI YA MAFURIKO -LATU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BAGAMOYO YAFANYA TATHMINI YA MAFURIKO -LATU
kiungo : BAGAMOYO YAFANYA TATHMINI YA MAFURIKO -LATU

soma pia


BAGAMOYO YAFANYA TATHMINI YA MAFURIKO -LATU

Na Mwamvua Mwinyi,Bagamoyo

Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani inafanya tathmini ya mafuriko ya mvua yaliyotokea ili waweze kununua dawa kwa ajili ya kuua wadudu wanaoweza kuleta magonjwa mbalimbali yatokanayo na kutuama kwa maji ya mvua.

Hayo yalisemwa Bagamoyo na mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Fatuma Latu wakati wa kikao cha baraza la madiwani.Latu alisema kutokana na tatizo la maji kutuama katika maeneo mengi yakiwemo kwenye makazi ya watu,inabidi kuwekwa dawa ya kuua wadudu hao .

Aidha alieleza athari za mvua ni kubwa , kila kata kupitia madiwani wamekubaliana na madiwani ,kamati husika zitakaa ili kufuatilia suala hilo.Latu alisema kuwa suala hilo lililetwa kwenye baraza kama dharura kutokana na hali ya mvua zinazoendelea kunyesha hapa nchini.

Awali Diwani wa kata ya Makurunge Paul Kabile alisema kuwa mvua hizo zimeleta athari kubwa sana kwa wananchi ambapo wamezungukwa na maji ambayo yanaweza kuleta athari ya magonjwa ya mlipuko.Kabile alisema ,athari ni kubwa ambapo baadhi ni uharibifu wa makazi,barabara,miundombinu mbalimbali hali inayofanya wananchi wawe na wakati mgumu kuingia au kutokana kwenye majumba yao.

Naye Diwani wa viti maalum Shumina Abdala alisema kuwa licha ya makazi kuathiriwa na mvua hizo hata taasisi za umma kama shule,zahanati na vituo vya afya.Abdala alisema kuwa kuna haja ya kuwa na dharura juu ya suala la kupatikana dawa za kuwa wadudu wanaoweza kuleta magonjwa kwani uchafu umetapakaa kila mahali.
Mkurugenzi halmashauri ya Bagamoyo,Mkoani Pwani Fatuma Latu akizungumza katika baraza la madiwani.
Baadhi ya madiwani wa wilaya ya Bagamoyo, wakifuatilia kwa makini yaliyojiri katika baraza la madiwani wilayani hapo
Diwani wa viti maalum ,Shumina Abdala (mwenye aliyeaimama mwenye blauzi yekundu)akizungumza jambo wakati wa baraza la madiwani wilayani Bagamoyo.Picha na Mwamvua Mwinyi


Hivyo makala BAGAMOYO YAFANYA TATHMINI YA MAFURIKO -LATU

yaani makala yote BAGAMOYO YAFANYA TATHMINI YA MAFURIKO -LATU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BAGAMOYO YAFANYA TATHMINI YA MAFURIKO -LATU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/bagamoyo-yafanya-tathmini-ya-mafuriko.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BAGAMOYO YAFANYA TATHMINI YA MAFURIKO -LATU"

Post a Comment