title : TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU
kiungo : TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage (katikati) akieleza jambo wakati alipokutana na ujumbe kutoka Ubalozi wa Jumuiya ya Ulaya kujadiliana Taarifa ya Utazamaji wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 iliyotolewa na jumuiya hiyo.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa NEC Jaji Mkuu Mst. (Znz) Hamid Mahmoud Hamid na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi na Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Giveness Aswile.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage (wa nne kushoto) akifafanua jambo kwa Balozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) Roeland Van de Geer (wa pili kushoto) na Mtaalau wa Masuala ya Siasa wa EU, Anna Costantin.Ujumbe huo ulifika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam kujadili Taarifa ya Utazamaji wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ilyotolewa na jumuiya hiyo.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Asina Omari (wa pili kulia) akiwasilisha taarifa fup kuhusu Tume na majukumu yake kwa ujumbe kutoka Ubalozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) (kushoto) uliofika ofisi za NEC kujadili Taarifa ya Utazamaji wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 iliyotolewa na jumuiya hiyo.Katikati ni Mwenyekiti wa NEC Jaji Semistocles Kaijage.
Picha na Hussein Makame-NEC
Hivyo makala TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU
yaani makala yote TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/tume-ya-taifa-ya-uchaguzi-yakutana-na.html
0 Response to "TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU"
Post a Comment