BREAKING: BILIONEA WA SAMSUNG AFUNGWA MIAKA 5 JELA KWA RUSHWA

BREAKING: BILIONEA WA SAMSUNG AFUNGWA MIAKA 5 JELA KWA RUSHWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING: BILIONEA WA SAMSUNG AFUNGWA MIAKA 5 JELA KWA RUSHWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING: BILIONEA WA SAMSUNG AFUNGWA MIAKA 5 JELA KWA RUSHWA
kiungo : BREAKING: BILIONEA WA SAMSUNG AFUNGWA MIAKA 5 JELA KWA RUSHWA

soma pia


BREAKING: BILIONEA WA SAMSUNG AFUNGWA MIAKA 5 JELA KWA RUSHWA

Mahakama nchini Korea Kusini imemhukumu bilionea anayetarajiwa kurithi Kampuni Samsung, Lee Jae-yong kifungo cha miaka mitano jela kwa makosa ya rushwa katika kashfa ambayo ilichangia kuondolewa madarakani kwa rais wa zamani wa Korea Kusini.

Kesi hiyo ilikuwa imevutia umma huku hasira zikiendelea kupanda dhidi ya kampuni kubwa za kibiashara za Korea Kaskazini, maarufu kama Chaebols huku Lee akikana na mashtaka hayo ambapo alikuwa amekabiliwa na uwezekano wa kufungwa jela hadi miaka 12.

Lee, maarufu nchini humo kama Jay Y Lee na amekuwa ndiye kiongozi wa kampuni hiyo kubwa ya simu duniani, amekuwa kizuizini tangu Februari akikabiliwa na tuhuma za rushwa. Makosa aliyokabiliwa nayo ni utoaji rushwa, wizi wa mali ya umma na kuficha mali nje ya nchi.
Lee, 49, pia alituhumiwa kutoa mchango wa hisani wa won 41bn ($36m; £29m) kwa hisani zilizosimamiwa na rafiki wa karibu wa rais aliyeondolewa madarakani Park Geun-hye, ili apendelewe kisiasa.
Waendesha mashtaka wanasema mchango huo ulitolewa kwa mwandani Mkuu wa Bi Park ili serikali iunge mkono mageuzi katika mfumo wa usimamizi wa kampuni ya Samsung ambao ungempatia Lee nguvu zaidi katika udhibiti wa Kampuni ya Samsung Electronics. Wakili wa Lee amesema tayari kwamba watakata rufaa uamuzi huo.
Hata hivyo, uamuzi huo wa mahakama ni pigo kubwa kwa kampuni hiyo kubwa zaidi na inayofahamika zaidi ya Korea Kusini. Tangu kutolewa kwa hukumu hiyo, hisa za Samsung zimeshuka kwa 1%.
Hukumu hiyo imetilia shaka sasa uongozi wa Lee katika kampuni hiyo. Amekuwa kaimu mwenyekiti tangu babake Lee Kun-hee alipopatwa na mshtuko wa moyo mwaka 2014. Kashfa hiyo ya Samsung ilichangia kuondolewa madarakani kwa Bi Park. Mwandani wake Choi Soon-sil tayari amefungwa jela miaka mitatu kwa makosa ya rushwa.


Hivyo makala BREAKING: BILIONEA WA SAMSUNG AFUNGWA MIAKA 5 JELA KWA RUSHWA

yaani makala yote BREAKING: BILIONEA WA SAMSUNG AFUNGWA MIAKA 5 JELA KWA RUSHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING: BILIONEA WA SAMSUNG AFUNGWA MIAKA 5 JELA KWA RUSHWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/breaking-bilionea-wa-samsung-afungwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BREAKING: BILIONEA WA SAMSUNG AFUNGWA MIAKA 5 JELA KWA RUSHWA"

Post a Comment