MKUTANO WA GHACOF KUWEZESHA SAYANSI YA HALI YA HEWA KUTUMIKA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA JAMII

MKUTANO WA GHACOF KUWEZESHA SAYANSI YA HALI YA HEWA KUTUMIKA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA JAMII - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUTANO WA GHACOF KUWEZESHA SAYANSI YA HALI YA HEWA KUTUMIKA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA JAMII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUTANO WA GHACOF KUWEZESHA SAYANSI YA HALI YA HEWA KUTUMIKA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA JAMII
kiungo : MKUTANO WA GHACOF KUWEZESHA SAYANSI YA HALI YA HEWA KUTUMIKA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA JAMII

soma pia


MKUTANO WA GHACOF KUWEZESHA SAYANSI YA HALI YA HEWA KUTUMIKA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA JAMII

 “Napenda kuwapongeza GHACOF kwa kuwezesha sayansi ya hali ya hewa kutumika katika shughuli za maendeleo ya jamii, nikiangalia kwa upande wa nchi yetu ya Tanzania kumekuwa na ongezeko la mahitaji na matumizi ya huduma za hali ya hewa kwa kiasi kikubwa sambamba na wigo mpana wa uelewa wa matumizi ya taarifa hizo, ambapo inasaidia sana wananchi kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa,” haya aliyasema Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (MB) wakati akifungua rasmi Mkutano wa 47 wa maandalizi ya utabiri na mwelekeo wa mifumo ya hali ya hewa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika (Forty Seventh Greater Horn of Africa Climate Outlook Forum (GHACOF-47) kwa msimu wa mvua za vuli wa mwezi Oktoka hadi Desemba 2017.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (MB) katika picha ya pamoja na washiriki mbalimbali wa Mkutano wa 47 wa maandalizi ya mwelekeo wa mifumo ya hali ya hewa msimu wa mvua za vuli (Oktoba-Disemba 2017) kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika (Greater Horn of Africa Climate Outlook Forum-GHACOF-47), Zanzibar Beach Resort, tarehe 21-22 Agosti 2017. 


Hivyo makala MKUTANO WA GHACOF KUWEZESHA SAYANSI YA HALI YA HEWA KUTUMIKA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA JAMII

yaani makala yote MKUTANO WA GHACOF KUWEZESHA SAYANSI YA HALI YA HEWA KUTUMIKA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA GHACOF KUWEZESHA SAYANSI YA HALI YA HEWA KUTUMIKA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA JAMII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mkutano-wa-ghacof-kuwezesha-sayansi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUTANO WA GHACOF KUWEZESHA SAYANSI YA HALI YA HEWA KUTUMIKA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA JAMII"

Post a Comment