Utalii : Waziri, Kigwangalla Afungua Mkutano wa Sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mjini Dodoma

Utalii : Waziri, Kigwangalla Afungua Mkutano wa Sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mjini Dodoma - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Utalii : Waziri, Kigwangalla Afungua Mkutano wa Sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mjini Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Utalii : Waziri, Kigwangalla Afungua Mkutano wa Sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mjini Dodoma
kiungo : Utalii : Waziri, Kigwangalla Afungua Mkutano wa Sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mjini Dodoma

soma pia


Utalii : Waziri, Kigwangalla Afungua Mkutano wa Sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mjini Dodoma


Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kulia) akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano wa wafanyakazi wakati wa mkutano wa sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu TFS uliofanyika leo mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Aloyce Nzuki na Mtendaji Mkuu wa Wakala hiyo, Prof. Dos Santos Silayo (wa tatu kulia).
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akihutubia baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania mjini Dodoma leo.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, Prof. Dos Santos Silayo akihutubia baraza hilo.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Aloyce Nzuki akihutubia baraza hilo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania waliohitimu mafunzo ya Jeshi Usu hivi karibuni wakati wa mkutano wa sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala huyo uliofanyika leo mjini Dodoma. 
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kulia) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Aloyce Nzuki muda mfupi baada ya kufungua baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania mjini Dodoma leo. 


Hivyo makala Utalii : Waziri, Kigwangalla Afungua Mkutano wa Sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mjini Dodoma

yaani makala yote Utalii : Waziri, Kigwangalla Afungua Mkutano wa Sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mjini Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Utalii : Waziri, Kigwangalla Afungua Mkutano wa Sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mjini Dodoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/utalii-waziri-kigwangalla-afungua.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Utalii : Waziri, Kigwangalla Afungua Mkutano wa Sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Mjini Dodoma"

Post a Comment