title : WANAFUNZI 4,731 WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA PWANI KUTOANZA MASOMO KUTOKANA NA UPUNGUFU WA MADARASA 122
kiungo : WANAFUNZI 4,731 WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA PWANI KUTOANZA MASOMO KUTOKANA NA UPUNGUFU WA MADARASA 122
WANAFUNZI 4,731 WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA PWANI KUTOANZA MASOMO KUTOKANA NA UPUNGUFU WA MADARASA 122
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani
MKUU wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo amewaagiza wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha wanajenga madarasa 122 na matundu ya vyoo ili wanafunzi 4,731 waliobaki kujiunga kidato cha kwanza waweze kuanza masomo ,ifikapo January 30 mwaka 2019.
Aidha amewaelekeza ,kufuatilia shule za msingi kumi zilizofanya vibaya kimkoa na kuhakikisha wanachukua hatua mahsusi. Pamoja na hayo, Ndikilo amekemea walimu wavivu na kuwataka wafanye kazi kwa molari ili kuinua ufaulu na taaluma kwa wanafunzi.
Akitoa maagizo katika kikao cha kamati ya uchaguzi wa wanafunzi waliofaulu kidato cha kwanza mkoani hapo, alieleza wanafunzi 4,731 hawatapata nafasi hivyo watasubiri hadi ujenzi ukamilike awamu ya II. Alisema, endapo halmashauri zingekamilisha wajibu wake wa kujenga majengo ya madarasa hali hiyo isingetokea.
Mkuu huyo wa mkoa alitaja takwimu kihalmashauri ambapo wanafunzi 487 halmashauri ya Bagamoyo hawana nafasi, Chalinze 103, Kibaha Vijijini 285,Kibaha Mjini 711 na Kibiti 537 . Ndikilo alitaja halmashauri ya Kisarawe wanafunzi 324,Mkuranga 1,071 na Rufiji 213 .
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala WANAFUNZI 4,731 WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA PWANI KUTOANZA MASOMO KUTOKANA NA UPUNGUFU WA MADARASA 122
yaani makala yote WANAFUNZI 4,731 WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA PWANI KUTOANZA MASOMO KUTOKANA NA UPUNGUFU WA MADARASA 122 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAFUNZI 4,731 WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA PWANI KUTOANZA MASOMO KUTOKANA NA UPUNGUFU WA MADARASA 122 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/wanafunzi-4731-waliochaguliwa-kidato.html
0 Response to "WANAFUNZI 4,731 WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA PWANI KUTOANZA MASOMO KUTOKANA NA UPUNGUFU WA MADARASA 122"
Post a Comment