RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa makofi na viongozi mbalimbali baada ya kufunua pazia kuashiria uzinduzi rasmi wa jengo la kitega uchumi la mfuko wa pensheni wa wafanyakazi wa umma la PSPF Plaza barabara ya Chimwaga mjini Dodoma leo April 23, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaidiwa na viongozi mbalimbali akiakata utepe kuashiria  uzinduzi rasmi wa jengo la kitega uchumi la mfuko wa pensheni wa wafanyakazi wa umma la PSPF Plaza barabara ya Chimwaga mjini  Dodoma leo April 23, 2018 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaidiwa na Naibu Waziri wa Fedha Dkt. Ashatu Kijaji na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Bi. Ineke Bussemaker kuashiria uzinduzi rasmi wa Makao Makao Makuu ya Kanda ya Kati ya benki hiyo yaendayo kwa jina la Tawi la Kambarage mijini Dodoma leo April 23, 2018 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaidiwa na Naibu Waziri wa Fedha Dkt. Ashatu Kijaji na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Bi. Ineke Bussemaker pamoja na viongozi wengine kukata utepe  kuashiria uzinduzi rasmi wa Makao Makao Makuu ya Kanda ya Kati ya benki hiyo yaendayo kwa jina la Tawi la Kambarage barabara ya Chimwaga mijini Dodoma leo April 23, 2018  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kitengo cha huduma kwa wateja akiwa na Naibu Waziri wa Fedha Dkt. Ashatu Kijaji, Naibu Gavana Mkuu wa Benki ya Tanzania Dkt. Bernard Kibesse, Mkurugenzi wa Bodi ya NMB Bi. Margareth Ikongo  na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Bi. Ineke Bussemaker baada ya kuzindua rasmi Makao Makao Makuu ya Kanda ya Kati ya benki hiyo yaendayo kwa jina la Tawi la Kambarage barabara ya Chimwaga mijini Dodoma leo April 23, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Fedha Dkt. Ashatu Kijaji, Naibu Gavana Mkuu wa Benki ya Tanzania Dkt. Bernard Kibesse, Mkurugenzi wa Bodi ya NMB Bi. Margareth Ikongo  na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Bi. Ineke Bussemaker pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo  na viongozi wengine baada ya kuzindua rasmi Jengo la PSPF Plaza na Makao Makao Makuu ya Kanda ya Kati ya benki hiyo yaendayo kwa jina la Tawi la Kambarage barabara ya Chimwaga mijini Dodoma leo April 23, 2018. Picha na IKULU


Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/rais-dkt-magufuli-azindua-jengo-la-pspf.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA"

Post a Comment