title : TANZIA: Msiba Ujerumani wa KONDO MOHAMED MSUMI aka Mguu Mtupu
kiungo : TANZIA: Msiba Ujerumani wa KONDO MOHAMED MSUMI aka Mguu Mtupu
TANZIA: Msiba Ujerumani wa KONDO MOHAMED MSUMI aka Mguu Mtupu
Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU e.V) kwa masikitiko makubwa tunawataarifu kifo cha Mtanzania mwenzetu Kondo mohamed Msumi ambaye alikuwa akiishi Bochum,nchini ujerumani.
Marehemu Kondo Mohamed Msumi amefariki usiku wa 2.kuamikia 3 Oktoba 2018 akiwa hospitalini akipatiwa matibabu, kamati ya Umoja wa Watanzania Ujerumani UTU e.V imewasiliana na ndugu wa marehemu waliopo Ujerumani na Tanzania Tumeazimia kupitisha michango ili kutuwezesha kufanikisha mazishi ya ndugu yetu, bado hatujajua kwamba tutazika hapa Ujerumani au tutasafirisha, tutawaletea taarifa zaidi kadiri tunavyozipata.
Kamati imechagua Rafiki wa karibu na familia ya Kondo ili kupokea michango hiyo. Michango yote ipitishwe kwenye acc ifuatayo.
Gls Bank,
Jafari Juma Mazangwi.
IBAN:DE15 4306 0967 4046 5996 00.
Bic: GENODEM1GLS
Tunawaomba watanzania wote kutoa michango kwa wingi ili kumuhifadhi ndugu yetu marehemu Kondo Mohamed Msumi
Asanteni
Hivyo makala TANZIA: Msiba Ujerumani wa KONDO MOHAMED MSUMI aka Mguu Mtupu
yaani makala yote TANZIA: Msiba Ujerumani wa KONDO MOHAMED MSUMI aka Mguu Mtupu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: Msiba Ujerumani wa KONDO MOHAMED MSUMI aka Mguu Mtupu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/tanzia-msiba-ujerumani-wa-kondo-mohamed_7.html
0 Response to "TANZIA: Msiba Ujerumani wa KONDO MOHAMED MSUMI aka Mguu Mtupu"
Post a Comment