title : MASHABIKI YA YANGA WAHOJI JEZI ZAO.
kiungo : MASHABIKI YA YANGA WAHOJI JEZI ZAO.
MASHABIKI YA YANGA WAHOJI JEZI ZAO.
Uongozi wa klabu ya Yanga umeibuka na kufunguka juu ya jezi zake kuwa zaidi ya moja jambo ambalo lilipelekea mashabiki na wadau kuanza kuhoji.
Kwa mujibu wa Kaimu Katibu Mkuu wa klabu, Omar Kaya, ameeleza kuwa wao wameamua kufanya hivyo kwasababu wamependa.
Kaya amesema hakuna mtu wa kuwashinikiza kufanya maamuzi hayo ya kuwa na jezi kwani ni jukumu lao kupanga.
Hatua hiyo imekuja mara baada ya Yanga kuonekana siku kadhaa zilizopita ikiwa na jezi za aina mbili za mazoezi na kuchezea mechi.
Kaya amesema waliamua kufanya hivyo na hakuna mtu yoyote atakayeweza kuwapangia mambo yao maana walikuwa na sababu zao.
Hivyo makala MASHABIKI YA YANGA WAHOJI JEZI ZAO.
yaani makala yote MASHABIKI YA YANGA WAHOJI JEZI ZAO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASHABIKI YA YANGA WAHOJI JEZI ZAO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mashabiki-ya-yanga-wahoji-jezi-zao.html
0 Response to "MASHABIKI YA YANGA WAHOJI JEZI ZAO."
Post a Comment