MVUA DAR YAKATA MAWASILIANO MIKOCHENI, DAWASCO YATOA RAI

MVUA DAR YAKATA MAWASILIANO MIKOCHENI, DAWASCO YATOA RAI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MVUA DAR YAKATA MAWASILIANO MIKOCHENI, DAWASCO YATOA RAI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MVUA DAR YAKATA MAWASILIANO MIKOCHENI, DAWASCO YATOA RAI
kiungo : MVUA DAR YAKATA MAWASILIANO MIKOCHENI, DAWASCO YATOA RAI

soma pia


MVUA DAR YAKATA MAWASILIANO MIKOCHENI, DAWASCO YATOA RAI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii

MVUA zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es salaam zimeendelea kuleta madhara katika maeneo ya Mikocheni barabara ya Chato mtaa wa Lukuledi  baada ya barabara hiyo kukatika na kujaa maji.

Akizungumza na Michuzi Blog, Kaimu Meneja uhusiano wa Shirika la Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam(DAWASCO) Everlasting  Lyaro ameeleza  maji hayo ni ya mvua na karavati  linalomwaga maji hayo ni yale yanayokusanywa maeneo  ya Mwenge, Mwananyamala na Mikocheni.

Aidha ameeleza walienda eneo la tukio  na kugundua tatizo hilo halikuwa lao bali ni watu  wa ujenzi wa barabara chini ya Manispaa na tayari suala hilo limekabidhiwa kwa makandarasi waliojenga barabara hiyo.

Pia ametoa rai kwa wananchi kwa kuwataka kuhifadhi miundombinu hasa mita zitakazosombwa na maji na watakaokumbwa na tatizo hilo watarekebishiwa mita hizo bure. Amewataka wananchi kutoa taarifa  kwa maeneo yatakayokosa huduma ili  washughulikie mara moja.

Mmoja wa shuhuda wa tukio hilo Abdul Rashid ameeleza  tukio hilo lilianza jana saa nane mchana baada ya magari kadhaa kupita ghafla barabara ilishuka na maji kuanza kumwagika hali iliyosababisha barabara kushindwa kupitika na ugumu wa biashara.

Hadi waandishi wetu  wanaondoka eneo la tukio sehemu ya barabara hiyo iliendelea kukatika.
 Muonekano wa   mtaa wa Lukuledi  barabara ya Chato baada ya kukatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es salaam.
Mpita njia akijaribu kukwepa shimo lililopo katika barabara ya Chato, Mikocheni jijini Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii)


Hivyo makala MVUA DAR YAKATA MAWASILIANO MIKOCHENI, DAWASCO YATOA RAI

yaani makala yote MVUA DAR YAKATA MAWASILIANO MIKOCHENI, DAWASCO YATOA RAI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MVUA DAR YAKATA MAWASILIANO MIKOCHENI, DAWASCO YATOA RAI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/mvua-dar-yakata-mawasiliano-mikocheni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MVUA DAR YAKATA MAWASILIANO MIKOCHENI, DAWASCO YATOA RAI"

Post a Comment