title : NSSF KUTOA MAFAO SITA KWA WOTE SEKTA ISIYO RASMI
kiungo : NSSF KUTOA MAFAO SITA KWA WOTE SEKTA ISIYO RASMI
NSSF KUTOA MAFAO SITA KWA WOTE SEKTA ISIYO RASMI
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limedhamiria kutoa mafao yote sita yatolewayo ili kuisaidia sekta isiyo rasmi kujikinga na majanga mbalimbali na kujikwamua Kiuchumi
Akizungumza katika semina hiyo kwa viongozi wa vikundi vya ujasiriamali mkoani pwani, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng.Evaristi Ndikilo.
Alisema sekta isiyo rasmi ina kundi kubwa sana ambalo halijafikiwa na Hifadhi ya jamii hivyo ni fursa na muhimu kwa wale wote walio katika sekta hiyo wakiwemo mamalishe, bodaboda, wakulima, wavuvi, walio katika vikundi kama SACCOS na Vikoba kujiunga na NSSF ili waweze kujikinga na majanga mbalimbali.
Pia Mkuu wa mkoa ameongezea kuhimiza wajasiriamali wote wa Mkoa wa Pwani kujiunga na Mfuko wa hifadhi ya Jamii ili koungeza pato la Mkoa wa pwani na pia aliwahimiza viongozi mbalimbali wa serikali kuunga mkono mpango huu kwani utaisaidia serikali ya awamu ya tano katika mikakati ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikumba jamii.

Pia mkuu huyo wa mkoa amesema wajasiriamali wengi wanavilio vikubwa kwa kukosa mikopo na pia riba kubwa pindi warejeshapo mikopo hiyo..,Lakini amelipongeza sana shirika la Taifa la hifadhi ya jamii kuliona hilo na kukaa chini pamoja na Benki ya Azania kutoa mikopo kwa wajasiriamali wote na kwa riba nafuu kupitia vikundi vyao.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evaristi Ndikilo akizungumza na Viongozi wa Vikundi vya uzalishaji mali wakati wa semina iliyoandaliwa na NSSF inayohusu Hifadhi ya Jamii kwa sekta isiyo rasmi.

Viongozi wa Vikundi vya uzalishaji mali wakiwa katika semina iliyoandaliwa na NSSF kwa ajili ya kuratibisha Hifadhi ya Jamii kwa sekta isiyo rasmi.
Hivyo makala NSSF KUTOA MAFAO SITA KWA WOTE SEKTA ISIYO RASMI
yaani makala yote NSSF KUTOA MAFAO SITA KWA WOTE SEKTA ISIYO RASMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NSSF KUTOA MAFAO SITA KWA WOTE SEKTA ISIYO RASMI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/nssf-kutoa-mafao-sita-kwa-wote-sekta.html
0 Response to "NSSF KUTOA MAFAO SITA KWA WOTE SEKTA ISIYO RASMI"
Post a Comment