title : KATIBU MKUU WA CCM TAIFA, DKT. BASHIRU ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 42 YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM.
kiungo : KATIBU MKUU WA CCM TAIFA, DKT. BASHIRU ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 42 YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM.
KATIBU MKUU WA CCM TAIFA, DKT. BASHIRU ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 42 YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM.
Mwambawahabari
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa Dkt. Bashiru Ally (kushoto) akimsikiliza Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge Mwandamizi, Ndg. Patson Sobha akimpatia maelezo kuhusu Siwa alimaarufu kama "Rungu la dhahabu" na umuhimu wake Bungeni alipotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea leo tarehe 9 Julai, 2018 katika Uwanja wa Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dkt. Bashiru Ally(mwenye shati la kijani) akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa kutoka Ofisi ya Bunge alipotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea leo tarehe 9Julai, 2018 katika Uwanja wa Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam. Wa sita kulia ni Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Eng. Stella Manyanya na wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Ndg. Edwin Rutageruka
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala KATIBU MKUU WA CCM TAIFA, DKT. BASHIRU ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 42 YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM.
yaani makala yote KATIBU MKUU WA CCM TAIFA, DKT. BASHIRU ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 42 YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WA CCM TAIFA, DKT. BASHIRU ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 42 YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/katibu-mkuu-wa-ccm-taifa-dkt-bashiru.html
0 Response to "KATIBU MKUU WA CCM TAIFA, DKT. BASHIRU ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 42 YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM."
Post a Comment