Mafundi Sanifu Barabara Wafundwa Kuhusu Mazingira

Mafundi Sanifu Barabara Wafundwa Kuhusu Mazingira - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mafundi Sanifu Barabara Wafundwa Kuhusu Mazingira, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mafundi Sanifu Barabara Wafundwa Kuhusu Mazingira
kiungo : Mafundi Sanifu Barabara Wafundwa Kuhusu Mazingira

soma pia


Mafundi Sanifu Barabara Wafundwa Kuhusu Mazingira

Mkurugenzi wa Usalama na Mazingira wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Julius Chambo akifafanua jambo kwenye hafla ya ufungaji wa Mafunzo ya tathmini na usimamizi wa athari za mazingira katika miradi ya ujenzi wa barabara kwa mafundi sanifu yanayofanyika mkoani Morogoro.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya tathmini na usimamizi wa athari za mazingira katika miradi ya ujenzi wa barabara wakifuatilia hotuba ya ufungaji wa mafunzo hayo iliyotolewa na Mkurugenzi wa Usalama na Mazingira wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Julius Chambo.
Mhitimu wa mafunzo ya tathmini na usimamizi wa athari za mazingira katika miradi ya ujenzi wa barabara akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Usalama na Mazingira wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Julius Chambo mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo.
Mwakilishi wa wahitimu wa mafunzo ya tathmini na usimamizi wa athari za mazingira katika miradi ya ujenzi wa barabara, Bw. Seth Rengia akiwasilisha maoni ya wahitimu wa mafunzo hayo kwa mgeni rasmi.
Mkurugenzi wa Usalama na Mazingira wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Julius Chambo (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya tathmini na usimamizi wa athari za mazingira katika miradi ya ujenzi wa barabara yanayofanyika mkoani Morogoro.


Hivyo makala Mafundi Sanifu Barabara Wafundwa Kuhusu Mazingira

yaani makala yote Mafundi Sanifu Barabara Wafundwa Kuhusu Mazingira Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mafundi Sanifu Barabara Wafundwa Kuhusu Mazingira mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/mafundi-sanifu-barabara-wafundwa-kuhusu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mafundi Sanifu Barabara Wafundwa Kuhusu Mazingira"

Post a Comment