TUME YA MADINI YATOA LESENI MPYA ZA MADINI 7879,KAMPUNI NYINGI ZAZIDI KUJITOKEZA KWENYE UWEKEZAJI WA MADINI

TUME YA MADINI YATOA LESENI MPYA ZA MADINI 7879,KAMPUNI NYINGI ZAZIDI KUJITOKEZA KWENYE UWEKEZAJI WA MADINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUME YA MADINI YATOA LESENI MPYA ZA MADINI 7879,KAMPUNI NYINGI ZAZIDI KUJITOKEZA KWENYE UWEKEZAJI WA MADINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUME YA MADINI YATOA LESENI MPYA ZA MADINI 7879,KAMPUNI NYINGI ZAZIDI KUJITOKEZA KWENYE UWEKEZAJI WA MADINI
kiungo : TUME YA MADINI YATOA LESENI MPYA ZA MADINI 7879,KAMPUNI NYINGI ZAZIDI KUJITOKEZA KWENYE UWEKEZAJI WA MADINI

soma pia


TUME YA MADINI YATOA LESENI MPYA ZA MADINI 7879,KAMPUNI NYINGI ZAZIDI KUJITOKEZA KWENYE UWEKEZAJI WA MADINI

Na Greyson Mwase, Dodoma 

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa kati ya kipindi cha mwezi Mei hadi Septemba mwaka huu, Tume ya Madini, imetoa leseni 7879 ambazo maombi yake yaliidhinishwa kupitia kikao cha Tume kilichofanyika tarehe 25 Septemba, 2018 kilicholenga kujadili taarifa za Kamati za Tume na utendaji kazi katika kipindi cha mwezi Mei hadi Septemba, 2018. 

Profesa Kikula ameyasema hayo leo tarehe 04 Oktoba, 2018 kupitia mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika katika Ofisi za Tume ya Madini zilizopo jijini Dodoma. 

Akielezea kuhusu maombi ya leseni za madini 7879 yaliyoidhinishwa katika kikao cha Tume, Profesa Kikula alieleza kuwa ni pamoja na Leseni za Utafutaji wa Madini (Prospecting License – (PL) 263; Leseni Kubwa (Special Mining License – (SML) 03;(ziliidhinishwa ili kupelekwa kwenye mamlaka husika ambayo ni Baraza la Mawaziri) Leseni za Uchimbaji wa Kati (Mining License – (ML) 14 pamoja na leseni 1 ya Sihia (Transfer) ya uchimbaji wa Kati. 

Aliendelea kufafanua kuwa, maombi leseni za uchimbaji wa kati 14 yaliyopitishwa kuwa ni pamoja na kampuni za Dangote Industries Limited kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya chokaa katika eneo la Mtwara; Nazareth Mining Investment Co Limited kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya kinywe (graphite) katika eneo la Ruangwa mkoani Lindi na kampuni ya Sunshine Mining (T) Limited kwa ajili ya uchimbaji wa madini dhahabu katika eneo la Chunya mkoani Mbeya. 
Mwenyekiti wa Tume ya Madini Profesa Idris Kikula (kushoto) akielezea takwimu za leseni zilizotolewa na Tume ya Madini tangu kuanzishwa kwake kwenye mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika jijini Dodoma mapema tarehe 04 Oktoba, 2018. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya. 
Mwenyekiti wa Tume ya Madini Profesa Idris Kikula (katikati) akitoa ufafanuzi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya na kushoto ni Mkurugenzi wa Leseni na TEHAMA wa Tume ya Madini, Torece Ngole 




Hivyo makala TUME YA MADINI YATOA LESENI MPYA ZA MADINI 7879,KAMPUNI NYINGI ZAZIDI KUJITOKEZA KWENYE UWEKEZAJI WA MADINI

yaani makala yote TUME YA MADINI YATOA LESENI MPYA ZA MADINI 7879,KAMPUNI NYINGI ZAZIDI KUJITOKEZA KWENYE UWEKEZAJI WA MADINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUME YA MADINI YATOA LESENI MPYA ZA MADINI 7879,KAMPUNI NYINGI ZAZIDI KUJITOKEZA KWENYE UWEKEZAJI WA MADINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/tume-ya-madini-yatoa-leseni-mpya-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUME YA MADINI YATOA LESENI MPYA ZA MADINI 7879,KAMPUNI NYINGI ZAZIDI KUJITOKEZA KWENYE UWEKEZAJI WA MADINI"

Post a Comment