KWA HILI LA YANGA, BODI YA LIGI LAZIMA WAPANGUE TENA RATIBA

KWA HILI LA YANGA, BODI YA LIGI LAZIMA WAPANGUE TENA RATIBA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KWA HILI LA YANGA, BODI YA LIGI LAZIMA WAPANGUE TENA RATIBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KWA HILI LA YANGA, BODI YA LIGI LAZIMA WAPANGUE TENA RATIBA
kiungo : KWA HILI LA YANGA, BODI YA LIGI LAZIMA WAPANGUE TENA RATIBA

soma pia


KWA HILI LA YANGA, BODI YA LIGI LAZIMA WAPANGUE TENA RATIBA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Kufuatia Yanga kuingia hatua ya makundi Kombe la Shirikisho barani Afrika ratiba ya ligi kuu iko mbioni kupanguliwa.

Hilo linakuja baada ya Shirikisho la Soka Afrika CAF kupanga ratiba ya makundi mwishoni mwa wiki hii na kuonyesha tarehe za michezo itakayochezwa kwa kila kundi.

Yanga iliyopangwa kundi D akiwa na timu za Rayon Sports ya Rwanda, Gor Mahia ya Kenya na USM Alger ya Algeria mechi zao wa kwanza zinatarajiwa kuanza Mei 6 mwaka huu.

Wawakilishi hao wa Tanzania na mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Vodacom wataanza mchezo wao wa kwanza ugenini dhidi ya USM Alger Mei 6 na kisha baadae kuja kumenyana na Rayon Sport mjini Dar es Salaam Mei 16 na itakamilisha mechi za mzunguko wa kwanza kwa kuwafuata Gor Mahia mjini Nairobi Julai 18.

Mzunguko wa pili Yanga itaanzia nyumbani Julai 29 na Gor Mahia, kabla ya kuwakaribisha na USMA Alger Agosti 19 na kwenda kumalizia ugenini Agosti 29 na Rayon.

Baada ya Ratiba hiyo ya mchezo wa kwanza wa Yanga wa Mei 6,  Bodi ya ligi haitakuwa na budi kufanya mabadiliko ya ratiba ya mchezo wa Yanga dhidi ya Mbao uliokuwa ufanyike Mei 5 na ule wa Mtibwa ambapo awali ulifanyiwa mabadiliko na kupangwa kucheza Mei 9 mkoani Morogoro.

Mei 12 Yanga ilipangwa kumenyana na Mwadui Mkoani Shinyanga na dhidi ya Prisons ni Mei 16 mkoani Mbeya.Mbali na mechi hizo Mei 20 ni Yanga dhidi ya Ruvu Shooting na wakimalizana na Azam mei 26.


Hivyo makala KWA HILI LA YANGA, BODI YA LIGI LAZIMA WAPANGUE TENA RATIBA

yaani makala yote KWA HILI LA YANGA, BODI YA LIGI LAZIMA WAPANGUE TENA RATIBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KWA HILI LA YANGA, BODI YA LIGI LAZIMA WAPANGUE TENA RATIBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/kwa-hili-la-yanga-bodi-ya-ligi-lazima.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KWA HILI LA YANGA, BODI YA LIGI LAZIMA WAPANGUE TENA RATIBA"

Post a Comment