PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA MAFUNZO MAALUM YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI

PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA MAFUNZO MAALUM YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA MAFUNZO MAALUM YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA MAFUNZO MAALUM YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI
kiungo : PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA MAFUNZO MAALUM YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI

soma pia


PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA MAFUNZO MAALUM YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI

Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania imezindua kampeni maalumu ya mafunzo ya usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule za msingi kwa lengo la kueneza elimu hiyo kuanzia ngazi ya chini. 

Kampeni hiyo inayokwenda sambamba na mashindano ya uchoraji michoro ya usalama barabarani imezinduliwa Dar es Salaam jana na ofisa wa Polisi, ASP Mbuya Matibu, kutoka Makao Makuu ya Kikosi cha Usala,ma Barabarani.

AKizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni hiyo, ASP Matibu,  alisema Puma Energy Tanzania, wana mchango mkubwa katika utoaji elimu ya usalama barabarani, hivyo kuwataka wadau wengine kuiga mfano huo.

Pia, aliwataka madereva nchini wasiendeshe magari kwa kukariri sheria,  bali wazitambue ili waweze kuzitumia vizuri kupunguza ajali.

Kwa upande wake Meneja Mkuu wa Puma Energy Tanzania, Philippe Corsaletti, alisema elimu ya usalama kwa wanafunzi ni muhimu, kwani inawapa uelewa wa matumizi ya barabara kwa usalama.

"Tunawaangalia sana watoto wa shule za msingi kwani wao wanakabiliwa na hatari nyingi za barabarani," alisema Corsaletti na kuongeza;


Meneja Mkuu wa Puma Tanzania, Philippe Corsaletti akizungumza kuhusu wanavoshiriki na kufanikisha mafunzo ya usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule za msingi hapa nchini ambapo kwa mwaka huu watatoa mafunzo kwa shule 22 kwa mkoa wa Ruvuma na Dar es Salaam.
Trafki kutoka makao makuu, ASP Mbuja Matibu akinzumgumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa mafunzo ya Usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule za msingi mkoa ya Dar es Salaam.
 Meneja Miradi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Amend, Simon Kalolo akizungumzia mafunzo ya usalama barabarani wanayoyatoa kwa wanafunzi wa shule za msingi wakati wa uzinduzi rasmi wa mafunzo hayo uliofanyika Makao makuu ya Kampuni ya Puma leo jijini Dar es Saaam.
 Mshindi wa mchoro 2017, mwanafunzi wa darasa la sita shule ya Msingi Mbande, Nasri Mustafa akiwaonyesha  mchoro wake wa usalama barabarani alioshindawakati wa uzinduzi wa mafunzo ya Usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule za msingi jijini Dar es Salaam, kutoka kulia, Meneja Miradi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Amend, Simon Kalolo, meneja Mkuu wa Puma Tanzania, Philippe Corsaletti, trafki kutoka makao makuu, ASP Mbuja Matibu na Sajent Hussein Ramadhani. Picha na Emmanuele Massaka,Globu ya jamii

 Meneja Mkuu wa Puma Tanzania, Philippe Corsaletti, Trafki kutoka makao makuu, ASP Mbuja Matibu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi rasmi wa mafunzo hayo uliofanyika Makao makuu ya Kampuni ya Puma leo jijini Dar es Saaam.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA MAFUNZO MAALUM YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI

yaani makala yote PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA MAFUNZO MAALUM YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA MAFUNZO MAALUM YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/puma-energy-tanzania-yazindua-mafunzo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA MAFUNZO MAALUM YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI"

Post a Comment