KIBARUA CHA CONTE KUOTA MBAWA KABLA YA MSIMU KUMALIZIKA

KIBARUA CHA CONTE KUOTA MBAWA KABLA YA MSIMU KUMALIZIKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIBARUA CHA CONTE KUOTA MBAWA KABLA YA MSIMU KUMALIZIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIBARUA CHA CONTE KUOTA MBAWA KABLA YA MSIMU KUMALIZIKA
kiungo : KIBARUA CHA CONTE KUOTA MBAWA KABLA YA MSIMU KUMALIZIKA

soma pia


KIBARUA CHA CONTE KUOTA MBAWA KABLA YA MSIMU KUMALIZIKA



Kufuatia Chelsea kupata matokeo ya kusuasua msimu huu katika Ligi Kuu England, Kocha wa kikosi hicho, Antonio Conte anaweza akafungashiwa virago kabla ya msimu kumalizika.

Taarifa kwa mujibu wa Daily mail zinaeleza kuwa sare ya bao 1-1 aliyoipata kwenye mchezo wa mwisho wa ligi dhidi ya West Ham United inaweza ikawa imechangia kwa kiasi kikubwa Conte kutosalia Darajani.

Chelsea mpaka sasa ipo kwenye nafasi ya msimamo wa ligi ikiwa imejikusanyia alama 57 ikiwa imecheza michezo 32.

Hapo awali taarifa ziliripoti kuwa Conte engeweza kusalia mpaka mwisho wa msimu, lakini kadri siku zinavyokwenda kumeonekana kuwa na mabadiliko kutokana na timu yake kupata matokeo ambayo hayaridhishi kiu ya mashabiki.


Hivyo makala KIBARUA CHA CONTE KUOTA MBAWA KABLA YA MSIMU KUMALIZIKA

yaani makala yote KIBARUA CHA CONTE KUOTA MBAWA KABLA YA MSIMU KUMALIZIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIBARUA CHA CONTE KUOTA MBAWA KABLA YA MSIMU KUMALIZIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/kibarua-cha-conte-kuota-mbawa-kabla-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KIBARUA CHA CONTE KUOTA MBAWA KABLA YA MSIMU KUMALIZIKA"

Post a Comment