title : NYUMBA 12 ZASOMBWA NA MAJI DAR
kiungo : NYUMBA 12 ZASOMBWA NA MAJI DAR
NYUMBA 12 ZASOMBWA NA MAJI DAR
Nyumba 12 zilizopo kando ya Mto Msimbazi,Mtaa Majengo Eneo la Vingunguti jijini Dar es salaam zimesombwa na maji na huku nyingine zaidi ya 100 ziko hatarini kuanguka kutokana na mmomonyoko wa udongo unatokana na kupanuka kwa Mto Msimbazi na kuingia katika makazi ya watu.
Baadhi ya wananchi wanaoishi katika mtaa huo wamesema hali ni mbaya katika eneo hilo, kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha huku mto huo ukiendelea kutanuka baada ya kuacha njia yake ya asili na kuingia katika makazi yao.
Diwani wa Eneo hilo Omar Kumbilamoto amesema walifanya juhudi za kupambana na mto huo kwa kuwashirikisha wananchi ambao kiasi cha Million 2 zilichangwa.
Hivyo makala NYUMBA 12 ZASOMBWA NA MAJI DAR
yaani makala yote NYUMBA 12 ZASOMBWA NA MAJI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NYUMBA 12 ZASOMBWA NA MAJI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/nyumba-12-zasombwa-na-maji-dar.html
0 Response to "NYUMBA 12 ZASOMBWA NA MAJI DAR"
Post a Comment