title : LIVERPOOL HAINA MPANGO NA MCHEZAJI KUTOKA MANCHESTER, YATOA TAMKO HILI KUHUSU FELLA
kiungo : LIVERPOOL HAINA MPANGO NA MCHEZAJI KUTOKA MANCHESTER, YATOA TAMKO HILI KUHUSU FELLA
LIVERPOOL HAINA MPANGO NA MCHEZAJI KUTOKA MANCHESTER, YATOA TAMKO HILI KUHUSU FELLA
Uongozi wa klabu ya Liverpool umekanusha taarifa za kutaka kumsajili kiungo wa Manchester United, Mbelgiji, Marouane Fellaini.
kwa siku kadhaa zilizopita kumekuwa na taarifa zinazomhusisha Fellaini kujiunga na Manchester United lakini inaelezwa kuwa Liverpool hawana mpango naye.
Licha ya uvumi huo, Kocha Jose Mourinho aliwahi kusema kuwa ataachana na kiungo huyo baada ya msimu kumalizika ili akatafute sehemu nyingine ya kucheza.
Fellaini alijiunga na Manchester United wakati David Moyes akiwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho akitokea Everton FC
Hivyo makala LIVERPOOL HAINA MPANGO NA MCHEZAJI KUTOKA MANCHESTER, YATOA TAMKO HILI KUHUSU FELLA
yaani makala yote LIVERPOOL HAINA MPANGO NA MCHEZAJI KUTOKA MANCHESTER, YATOA TAMKO HILI KUHUSU FELLA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala LIVERPOOL HAINA MPANGO NA MCHEZAJI KUTOKA MANCHESTER, YATOA TAMKO HILI KUHUSU FELLA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/liverpool-haina-mpango-na-mchezaji.html
0 Response to "LIVERPOOL HAINA MPANGO NA MCHEZAJI KUTOKA MANCHESTER, YATOA TAMKO HILI KUHUSU FELLA"
Post a Comment