RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwashuhudia Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi na IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu wakila kiapo cha maadili ya viongozi baada ya kuwaapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi na Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan,  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi balozi John Kijazi Naibu Katibu Mkuu wa  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe Ramadhani Mwinyi pamoja na viongozi wa vikosi vya Ulinzi na Usalama katika picha ya pamoja na Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi na IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu baada ya  kuwaapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi na Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.

Picha na IKULU


Hivyo makala RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rais-magufuli-awaapisha-mabalozi-wawili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment